Kingereza nakimudu.lakini katika hili nitaenda unyayo kwa unyao na wewe kwa lugha ya kiswahili ili misumari nitakayo kuwa nakugongea ikuingie vizuri na ipate kueleweka kwa watu wote hata wale wasiomudu lugha ya kingereza.
huna akili,laiti ungekuwanazo usingekuwa unajadiliana peke yako toka page moja mpaka ya saba.
halafu akitokea mtu mwenye mawazo tafauti na yako,unatoa povu jingi.
sasa safari hii nimekufungia kazi.
wewe andika kwa kingereza, Mimi naandika kwa kiswahili halafu tuone mwisho wa siku nani ataumiua.pumbavu mkubwa wee.[emoji23] [emoji23]