Mkurugenzi mkuu wa NIMR *Prof Yunus Mgaya* amesema taasisi yake inaifanyia utafiti dawa ya Corona kutoka Madagascar na ikijiridhisha kwamba inafaa, basi itaanza kutengenezwa hapa hapa nchini.
Kadhalika Prof Mgaya amewataka watanzania watumie dawa ya *NIMRCAF* inayotengenezwa na taasisi yake.
Prof amesema kwa wale wasioweza kuinunua madukani wanaweza kuitengeneza nyumbani kwa kutumia formula hii;
å Lita 1 ya maji ya moto.
å Kitunguu saumu punje 10 hadi 15.
å Malimao 2.
å Kitunguu maji kikubwa 1.
å Tangawizi size ya kidole gumba 4.
å Pilipili kichaa 5.
Changanya kwa kutumia blender kwa dakika 4 hadi 5. Kisha iache ipoe na uanze kuitumia
*#DOZI NI VIJIKO VIWILI(2) VYA CHAKULA KILA BAADA YA MASAA NANE AU SITA#*
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.