Mbinu za vyama tawala kubaki madarakani. Baadhi ni:
1. Kuanzisha vyama feki vya upinzani vitakavyounga juhudi
2. Kutumia dola kukandamiza chama kikuu cha upinzani
3. Kutumia mihimili mungine kukandamiza upinzani
4. Kununua wapinzani ili kuonekana machoni mwa jamii (ya wasiofanya uchambuzi) kuwa chama tawala kinapendwa
5. Kuvuruga chaguzi kwa kila hali ili chenyewe kibaki kutawala
5. Kutengeneza vyama mbadala vya kupambana na vyama halisi vya upinzani
6. Kutumia mali za umma na vyombo vya dola kubaki madarakani
7. Kupuuza nguvu na mawazo ua umma kwa manufaa ya chama tawala
8. Kuweka sheria kandamizi ili kunyanganya uhuru wa mawazo, habari na haki nyingine za binadamu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.