MSAADA PLZZZ
Hiv kuna namna yyt, Ninayoweza ku block Jukwaa mfano la Siasa? kwa anayejua plz and plz nipo ZAID YA SERIOUS nielekeze, najua n nchi yangu siwez ikimbia na ninaipenda sana ndo mana naumia ninapoona habari za ukandamizaji na nyingne nying za kuturudisha nyuma, Nilikua mpenzi sana wa magaazeti ,lkn leo hii sio tuu kununua gazeti, bali hata kuliona sitak mana najua nitakachokiona kitanikwaza tuu, hata ya michezo sina iman nayo tena. Huwez amin asaiv nikipita shm inayouzwa magazeti N bora nigeukie upande wenye chemba ya choo kuliko kweny gazeti. Taarifa ya habari ndo kbsaa nawekaga headphone na sikumbuki mara ya mwisho kuisikia n lini.
Shida za nchi hii haziishagi, ngoja nitatue zangu. plzzzzz narudia km kuna namna ya ku block au ku ignore jukwaa zima mfano la siasa nielekeze plzzz, nakosa amani kuingia JF