Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

Status
Not open for further replies.
Rais wa DRC TSHEKEDI aunguruma



ISHU IKO HIVI. Hatuwezi haribu uchumi wa mutu yote ya Congo (84,000,000) kwa kuogopa vifo vya mutu 5,000,000. Kuna maisha baada ya corona eti. Kazi zitaendelea kama kawaida; akili kumukichwa ya mutu.

UKIRANDARANDA HOVYO, WEWE NA FAMILIA YAKO, JENEZA.

UKIJIINGIZA KWENYE MIKUSANYIKO (BAA, CLUB, SOKONI, KANISANI, KWENYE MABASI, N.K), WEWE NA FAMILIA YAKO, JENEZA.

USIPONAWA MIKONO KWA USAHIHI KAMA UNAVYOELEKEZWA, WEWE NA FAMILIA YAKO, JENEZA.

USIPOVAA BARAKOA SAHIHI NA WAKATI WOTE, WEWE NA FAMILIA YAKO, JENEZA;

USIPOTUMIA SANITIZER, WEWE NA FAMILIA YAKO JENEZA.

USIPOFUATA MAELEKEZO YA WATAALAM NA SERIKALI, WEWE NA FAMILIA YAKO; JENEZA.

Hii vita sasa ni ya mutu moya moya na familia yake. KWANI UNAFIKIRI UKIFA WEWE NCHI ITAKUFA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom