*RAIS MAGUFULI AISTUA DUNIA TENA.*
[emoji1542]Jirani zetu Kenya katika County ya Mombasa, wakaazi wa Mombasa leo wagomea kupima Corona na kuwatimua wapimaji huku wakimtaja rais Magufuli ndiye amewasaidia kuzistukia mashine hizi, baada ya dereva mmoja wa Mombasa akiwa mpaka wa Kenya na Uganda, alipopimwa na akakutwa na Corona
Kisha kugomewa kuvuka mpaka. Akarudishwa chini ya usimamizi wa Askari wa mpakani, hadi Mombasa.
Lengo lilikuwa akafungiwe kwenye Karantini (Quarantine).
[emoji1542]Kufika kituo cha quarantine jamaa
akagomea kufungiwa na kulazimisha apimwe
tena, huku akimtaja rais Magufuli kuwa amegundua baadhi ya mashine zinatoa majibu fake.
Akakubaliwa kupimwa tena, jamaa wote
walishangaa majibu ya vipimo vya huyo
dereva yakionyesha hana Corona yaani *Negative!*
[emoji1542]Jamaa hawakuamini! wakamchukua tena sample na kumpima kwenye mashine nyingine, majibu
yakawa *negative* hana Corona hivyo dereva huyo akarudi mtaani kuendelea na shughuli zake.
[emoji1542]Kufika mtaani alishangiliwa sana na huku wakimshukuru sana
Magufuli Wa Tanzania kwani amewasaidia Wakenya kuzishtukia machine bomu.
[emoji1542]Hao ndio Wakenya, wako Mubashara kufuatilia siasa za Tanzania na kuzifanyia kazi, huku Tanzania wale Wazalendo sana, wanajitia hamnazo, lakini ndani ya banafsi zao wanamkubali, sasa tuna rais aongozae nchi ya Tanzania na anayafutwa mpaka na majirani...
*Jiongeze Mtanzania Chukua Tahadhari na tembea Kifua Mbele*
Sent using
Jamii Forums mobile app