POLISI WANAVYOHAHA KUMDHIBITI LISSU ASIKUTANE NA MABALOZI WA NCHI ZA NJE LEO TAREHE 02 OKTOBA, 2020 DAR ES SALAAM.
Hata sisi ambao hatuna utaalam wa Sheria tumegundua makosa yafuatayo kwenye hiyo Barua yao;-
1: Mwenyekiti aliyeandikiwa Barua hii hajulikani ni wa ngazi ipi kwenye chama.
2: Jina la Chama limekosewa sana; hakuna kitu kinaitwa 'Chana' wala hakuna kitu kinaitwa 'Democrasia' kwenye jina la usajili wa chama chetu.
3: IGP ameelekeza Lissu aripoti Kituo cha Polisi Moshi, huyu SACP Wambura anaelekeza Kituo cha Dar Es Salaam, hapa nani anatoa order ya mwisho kati ya IGP na SACP?
4: Barua hii ya SACP Wambura, haina hata Sanduku la Posta la Mwandikiwa.
Lissu endelea na maandalizi yako ya Kikao na Mabalozi wa Mataifa ya nje; hawa akina SACP na IGP waende kujipanga upya tena.
Francis M. Garatwa,
M/Kiti CHADEMA Serengeti.
02 Oktoba, 2020.
Haya sasa mambo ndo yapo hivi upade wa pili[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A715F using
JamiiForums mobile app