Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #27,021
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@Malaria Sugu oversaw this in his article tutamkumbuka jk but I remember we rebuked himHAPPY BIRTHDAY KIKWETE:
Leo Rais mstaafu Jakaya Mrisho kikwete, anatimiza miaka 70. Mi binafsi namkumbuka kwa mambo machache aliyoyafanya:
1. Daraja la Kigamboni
2. Daraja La Kilombero
3. Daraja la Umoja
4. Daraja la Maragarasi
5. Chuo Kikuu cha Dodoma
6. Hospitali ya Mloganzila
7. Julius Nyerere International Airport terminal III.
8. Dar es salaam Rapid Transport-DART (Mwendo kasi).
9. Sekondari za Kata nchi nzima, kila kata ina shule.
10. Mradi mkubwa wa maji wa Ziwa Victoria.
11. Songwe Airport
12. Kigoma Airport
13. Tabora Airport
14. Umeme wa REA
15. Benjamin Mkapa Hospital Dodoma
16. Chuo kikuu cha Nelson Mandela Arusha.
17. Dangote Cement industry
18. Bomba la gesi Mtwara to Dar
19. Hospitali ya Moyo
20. Hakuna watu wasiojulikana.
21. Hakuna mfanyabiashara kufilisiwa.
22. MOI
23. Nchi nzima kuunganishwa kwa barabara za lami, zaidi ya km 14000 zilijengwa nchi nzima.
24. Ujenzi wa Mkondo wa taifa wa mawasiliano, leo tunajimwambafai na internet.
25.Nyongeza ya mishahara kwa watumishi kila mwezi Julai.
26. Ajira kila mwaka.
27. Annual Increment ilikuwa haki ya Mtumishi.
28. Diplomasia ya kimataifa ilikuwa juu.
29. Demokrasia iliyopevuka, na alisema kuwa, hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa, siyo kwa kipigo cha Polisi.
30. Atleast tulikula-kula bata, yaani enzi hizo laki si pesa!! [emoji122][emoji120]
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app