Yajuwe maajabu ya Jimbo la Kilwa alikotoka Mhe. Ndulane (Mb)
Jimbo aliloshinda Mhe.
Ndulane lina sifa zake 3 za ziada;
1. Mgombea mmoja alishinda kura za maoni CCM alipitiliza na Gari hadi Baharini hadi leo hajaonekana.
2. Mgombea mwingine alishinda Ubunge lakini hakuliona Bunge hadi amefariki baada ya kupigwa upofu.
3. Jimbo hili limeongozwa na Mhe. Bwege kwa awamu 3 akiwa upinzani.
Mhe. Ndulane ameshinda kupitia
CCM lakini alikuwa mshindi wa 3 kwenye kura za maoni.
4. Gari zote alizotumia ndulane zilinock Engine mpaka akaanza kutumia pikipiki....!
5.ndulane alivo shinda naye alipatwa na stroke ,Happ ndo ameqnza kuponapona
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.