Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amemtaka Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo kumkamata Mama aliyejulikana kwa jina la Mama Mwaisome ambaye alikuwa akiwahamasisha wenzake kutolipa sh.1.7 bilion za Serikali.
Wakati Mama Mwaisome akipelekwa katika gari la Polisi kwa ajili ya kupelekwa kituo cha polisi mume wake naye alisema ni bora na yeye apelekwe selo kuliko kumpeleka mkewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.