Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

Status
Not open for further replies.
KESHA LA ASUBUHI

Ijumaa 05/03/2021

ZAIDI YA MANENO

Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; maana ndiko zitokako chemchemi za uzima. Mithali 4:23

[emoji411] Pasipo utakaso kamili wa maisha, pasipo upole na unyenyekevu wa moyo, wanaodai kuwa wafuasi wa Kristo hawawezi kumheshimu Yeye mbele ya ulimwengu. Ikiwa sifa za Kristo hazifunuliwi maishani mwao, hawawezi kupelekwa katika makao ya mbinguni ambayo ameenda kuwaandalia wale wampendao na kuzishika amri Zake.

[emoji411] Miongoni mwa washiriki wetu wapo wengi ambao, wakati wanapodai kutembea katika njia za Bwana, katika kudai kwao wanaleta njia na tabia za nafsi ambayo hazijaongolewa, na hizi huharibu tabia zao. Mengi ambayo ni upuuzi huletwa katika maisha ya nyumbani na kanisa, kwamba Roho ya Kristo huhuzunishwa. Kuna familia miongoni mwetu ambazo, ikiwa hawataamka toka katika utofauti wao wa kulala, zitapotea; kwa kuwa hawaongolewi siku kwa siku; hawaielewi sayansi ya kiungu ya utauwa wa kweli; na kwa hiyo wao si vyombo ambavyo Bwana anaweza kuvitumia.

[emoji411] Wamemruhusu Shetani kuwa na uongozi na utawala wa maneno na matendo yao, na hawatambui ni madhara mengi kiasi gani wametenda kwa nafsi nyingi kwa kujikweza kwao binafsi. Wameumiza moyo wa Kristo, kwa kuwaumiza wale walionunuliwa kwa damu yake. Nimeambiwa kusema kwa hawa wanaokiri imani pasipo kuongoka, “Chimba kwa kina, na kuweka misingi yenu kwa uimara juu ya Mwamba Kristo Yesu.” Haitoshi sisi kuzungumza kuhusu maisha ya juu. Sababu yetu ya kila siku ni kuwa tafsiri kwa wengine kile maisha ya juu humaanisha...

[emoji411] Maisha yajayo ya umilele ya kila mtu hutegemea, si katika maneno, si katika kukiri imani, bali katika kazi ya dhati. Tunahitaji juhudi za dhati ili kuweza kuutunza moyo kwa bidii zote, huku tukimtazama Yesu kama mwenye kuanzisha na kutimiliza imani yetu. Tunapaswa kuchunga ulimi kaidi; tunapaswa kutafuta fursa za kutenda mema kama Yesu alivyofanya.

[emoji820] Wahubiri wa injili, mhubirini Kristo. Ileteni neema yake ya kimbingu katika maisha na mawazo yenu. Iweni wakweli, na mara zote dumuni chini ya nidhamu ya Neno la Mungu. Ni sharti tuokolewe katika njia aliyoichagua Mungu. Ni lazima tutegemee katika ushauri wake, na kuungana katika kazi zake. Moyo wenye kutubu mara zote huwa mwepesi kuhisi. Wafundisheni kila mtu anayedai kuwa mtoto wa Mungu, kwamba tabia iliojengwa vizuri mara zote itafuata mfano wa Mungu.

MUNGU AKUBARIKI SANA[emoji1980]
 
When you despise the truth death or even news about it will be your chief tormentor.
Death reminds you of your folly that you have laid your toil on vanities: Things which are temporary and that soon death will rob you of all of your earthly possession whose acquisition was and still is through digging your eternal condemnation

But death or reports of it mock your poor decisions. That you may ultimately be responsible for over a million deaths because you spurned science guidance over coronavirus and covid-19

But death or its reports will not be silenced because of your orders. In fact your orders are shaped by the size of your pride, arrogance and foolishness

If you were wise you would have known that men were born in bondage with disobedience, rebellion and stubbornness and that if they refuse their Creator commandments and opt to wallow in fatal sin which leads to eternal death then why should they obey their fellow houses of clay whose demise will be according to their deeds?

If you have nothing useful to do you will do well holding your peace
jamiiforums_20210304_224439_0.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom