Ninyi wakenya zaidi ya kufundishwa kiingereza, ukabila na corruption, elimu yenu ni bure kabisa, hamna mnachojua.
Thamani ya pesa inahusika sana katika kupandisha au kushusha GDP ya nchi. Ngoja nikuingize shule.
Hizo bidhaa(Goods) na Huduma unazozalisha, bei yake inategemeana sana na gharama za uzalishaji, gharama za uzalishaji, zinaathiriwa sana na thamani ya pesa.
GDP = Goods(G) + Services(s)
GDP=G + S
If you increase the price of Goods and Services, automatically, GDP increase, and vice versa.
GDP= increases when
1) Goods, or services or both increase (Real GDP)
2) The prices of Goods and Services increase with no increase of Goods and Services (Fake GDP like Kenya). This makes goods manufactured in the country to be unnecessarily expensive compared to nearby countries.
If the strength of the country is not fake, it doesn't increase the prices of Goods and Services produced in the country. Wewe jiulize kwanini chupa ya bia Kenya inauzwa Mara mbili zaidi ya chupa ya bia inayotengenezwa Tanzania?
Soma hii article kwa uzuri sana, shuka chini kuna "Sub section inasomeka ," How GDP affects exchange rate of the currency?" Wameeleza vizuri sana
You might have heard TV panels full of economists and policy experts talking about the size of an economy. Germany, for instance, is considered one of the...
transferwise.com