Why me now?... ni swali ambalo anajiuliza Vozinha

Why me now?... ni swali ambalo anajiuliza Vozinha

Ushauri... Usitangulize pesa katika maisha, angalia upendo. Maisha ya kuviziana ni ya wajinga.
Kwenye kudili na hawa viumbe pesa itakutoka tu mkuu. Muhimu jua kikomo cha bajeti yako na tanguliza masilahi yako, wa starehe mtumie kwa starehe, wa kuoa fanya nae maisha
 
Mwanaume usipo jitambua wewe ni nani utaishia kutumika for the rest of your life..

Hautaweza kuwa na mwanamke sahihi maana hautajiona ndani ya huyo mwanamke... Utauona makebo, sura, na uzuri wa nje..

Na yeye hayakuwa na namna atafatilisha ulicho kiona kwake, ambacho ni mali..

Maisha ya kuviziana haswa huwa yanasababishwa na watu ku indulge kwenye vitu visivyo na msingi. Stori za sijui ile pisi ina makebo, yule mkaka ana harrier, huyo manzi ana chuchu dede, na mwngineyo ni utoto wa madogo wanao balehe.

Mmatumbi hudhani materialistic things na physical appearance ndo vitu vya muhimu. Lakini ukweli tumeona for generations.. Ya kuwa mutal respect and care ndo msingi bora wa mahusiano..

Hivyo basi ewe mmatumbi amka na uanze kujenga maisha yako, uache kupambana vitu visivyo na maana kwa sababu mwisho wa haya yote ni mauti.. Je, unataka kufa ukiwa huna mahala watu wanakuzungumzia makubwa?
 
Back
Top Bottom