Why Men Love or prefer bitches???

Why Men Love or prefer bitches???

Wana MMU

Salama wakuu!!

Kwenu nyie wanaume naomba mnisaidie why do you prefer bitches??

Nimekua nikiona wanaume wengi pamoja na kutambua dada fulani ni malaya lakini mmekuwa mkipigana vikumbo kuwafatilia tena sio kwa one night stand bali kwa mahusiano ya muda tu.

Huwa nawashangaa mnapowasemasema lakini mmo tu[emoji3] [emoji3] [emoji3].

Nimejaribu kupitia kitabu cha Sherry Argove cha WHY MEN LOVE BITCHES bado sijamwelewamwelewa.

Mnisaidie basi kuweni wa wazi mnawapendea nini kwao tujifunze basi ili tutumie kwa waume zetu wasiwakimbilie hao bitches!!!
Sex is great
 
Back
Top Bottom