As opposite to the man on the profile pic. . weka ya. . . aah nimeshindwa kupata famous short figure zaidi ya marehemu kawawa. . napata waswas na analysis yako mleta mada how come nimeshindwa kupata picha ya haraka ya kijana mfupi aliyefanikiwa anayejuilikana ofcourse nilitaka nimshauri the boss abadili avatar yake. . Labda wanamiliki guests tu hahahaaa the boss am still laughing kwamba na una plan ya kufungua lodge real the guy akutake radhi!!
Hata sijui nisemeje
urefu wangu ni 5.7
wengine huniita mfupi
na kuwa na lodge ni kitu ambacho kiko kwenye plan
dah....i feel insulted here
Hii mada hata wanawake wako included????
Maana huu utani wa ngumi sasa.
Kongosho pliz usilete yale mambo ya 'Walikuwemo watu kumi na wamasai 2' lol. . kasema watu wafupi. . i.e wanawake kwa waume. .by the way unajua nilipotea kidg mahali hapa ule utata ulishatatuliwa wa wewe ni me au ke? lol. .
Huo hata mie siwezi kuutatua
Maana walouanzisha ndio wanaujua ukweli
Mie akhah, najilia vyangu na urefu wangu hasi.
urefu au ufupi ni neno linganifu...kama wewe unataka ujisikie watu wafupi wanajisikiaje basi kwa kimo ulichonacho jaribu kusimama karibu na mtu aliyekuzidi urefu walau utofauti uwe kama 30cm tu halafu rudi hapa jukwaa utupe mlisho nyuma!
daddy.. hapo mwishoni nahc ulitaka kumaanisha mrejesho ama?
Huo hata mie siwezi kuutatua
Maana walouanzisha ndio wanaujua ukweli
Mie akhah, najilia vyangu na urefu wangu hasi.
U mean urefu wako wa kwenda chini eeh!