WHY MOST SHORT MEN WANAKUWA SUCCESSFUL? kuna siri gani?

WHY MOST SHORT MEN WANAKUWA SUCCESSFUL? kuna siri gani?

Twande, you made my day aisee hapo pekundu.

Mie naongezea list Mzee Small au Mwara kwa Kenya.

As opposite to the man on the profile pic. . weka ya. . . aah nimeshindwa kupata famous short figure zaidi ya marehemu kawawa. . napata waswas na analysis yako mleta mada how come nimeshindwa kupata picha ya haraka ya kijana mfupi aliyefanikiwa anayejuilikana ofcourse nilitaka nimshauri the boss abadili avatar yake. . Labda wanamiliki guests tu hahahaaa the boss am still laughing kwamba na una plan ya kufungua lodge real the guy akutake radhi!!
 
Last edited by a moderator:
Twande, you made my day aisee hapo pekundu.

Mie naongezea list Mzee Small au Mwara kwa Kenya.

Yes Kongosho. . nilitaka kuamini lakini ghafla wakati namtafutia the boss profile pic itayoleta uhalisia na urefu alotutajia then nikakutana na utata huu then now anakuja mh sugu pia lolest. .
 
Last edited by a moderator:
Hii mada hata wanawake wako included????
Maana huu utani wa ngumi sasa.

Kongosho pliz usilete yale mambo ya 'Walikuwemo watu kumi na wamasai 2' lol. . kasema watu wafupi. . i.e wanawake kwa waume. .by the way unajua nilipotea kidg mahali hapa ule utata ulishatatuliwa wa wewe ni me au ke? lol. .
 
Huo hata mie siwezi kuutatua
Maana walouanzisha ndio wanaujua ukweli

Mie akhah, najilia vyangu na urefu wangu hasi.

Kongosho pliz usilete yale mambo ya 'Walikuwemo watu kumi na wamasai 2' lol. . kasema watu wafupi. . i.e wanawake kwa waume. .by the way unajua nilipotea kidg mahali hapa ule utata ulishatatuliwa wa wewe ni me au ke? lol. .
 
kwani urefu unapimwa kwanzia mita/futi ngapi?.;....maana ukiwa mrefu sana utawaita average people wafupi.na ukiwa mfupi sana hata waliokuzidi watakuwa warefu.
 
Ni wakali...but ni watamu sana kwenye mambo mengine tena awe black weee...
 
urefu au ufupi ni neno linganifu...kama wewe unataka ujisikie watu wafupi wanajisikiaje basi kwa kimo ulichonacho jaribu kusimama karibu na mtu aliyekuzidi urefu walau utofauti uwe kama 30cm tu halafu rudi hapa jukwaa utupe marejesho!
 
duh, sie minazi tunakosa uhondo wa watani wa jadi hasa linapokuja suala la malovee. make nasikia na wakare sana kwenye malovee. jaman me cwapend ila nahc mtarajiwa ni mtani wa jadi lol. . . .
 
urefu au ufupi ni neno linganifu...kama wewe unataka ujisikie watu wafupi wanajisikiaje basi kwa kimo ulichonacho jaribu kusimama karibu na mtu aliyekuzidi urefu walau utofauti uwe kama 30cm tu halafu rudi hapa jukwaa utupe mlisho nyuma!

daddy.. hapo mwishoni nahc ulitaka kumaanisha mrejesho ama?
 
daddy.. hapo mwishoni nahc ulitaka kumaanisha mrejesho ama?

hahaha asante...hilo neno mlisho nyuma nimeliibua hapa hapa jamvini, ngoja nirekebishe nitumie tafsiri yako naona ndio ipo sahihi zaidi
 
hapo kwenye ufupi ni upande wa wanaume tuu. au na wanawake??
 
The Boss mimi kwetu ndo mfupi kuliko wote mimi ni futi 6.3 , najihisi ntamiliki lodge au guest house siku zijazo as muandishi wa uzi alivyoonesha
 
Last edited by a moderator:
alafu huwa wanamatani sana yani most of them huwa wamejaaliwa kuwa na kipaji cha kuchekesha mf. joti, mwala nk.
 
As opposite to the man on the profile pic. . weka ya. . . aah nimeshindwa kupata famous short figure zaidi ya marehemu kawawa. . napata waswas na analysis yako mleta mada how come nimeshindwa kupata picha ya haraka ya kijana mfupi aliyefanikiwa anayejuilikana ofcourse nilitaka nimshauri the boss abadili avatar yake. . Labda wanamiliki guests tu hahahaaa the boss am still laughing kwamba na una plan ya kufungua lodge real the guy akutake radhi!!

Kwani Reginald Mengi ni mrefu?
 
Back
Top Bottom