Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Nauliza misemo yenye lugha ya mbele bado ipo ama la, je mnakwenda Algeria na slogan gani?
Je, mtakufa kiume? Mm nadhan ss hv mtakufa kikike, hilo nna uhakika nalo.
Simba ndio wanaokufa kiume, nyie lazima mfe kikike, mnaanzisha slogan halafu implementation yake ni zero.
Halaf mlivyokosa ubunifu mmeiga wimbo wa Kivumbi na Jasho kutoka TP Mazembe.Shame on u
Nawashauri nendeni Algeria na slogan ya Asiyekubali kushindwa sio mshindani.