"Adhabu" utasikia Makonda akitamka 'azabu', "Dhambi"- zambi; n.k. Ni shida.Ni bora uandike Kiswahili tu! English ni ugonjwa wa Taifa hili! "I know drug deals" badala ya "I know drug dealers" !
"God won't here them" badala ya " God won't hear them"!
Awamu hii ya "Kisukuma" shida kweli! English hatujui na Kiswahili pia ni tabu kwetu!
Rais tunamwita "Laisi" ,Miradi utasikia " miladi" jamani sisi "Wasukuma" tutavumiliwa hadi lini?!