Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
and he choose supporting him, and he knew that will take down his political career. if you ask me, he choose that path let him deal with his own darkness
typing error but thanks for correctinghe chose, NOT he choose
well define uzalendo?Profesa Kabudi ni miongoni mwa wazalendo wa kweli ambao ni hazina ya taifa.
He’s a professor from the damping places he must be very shy indeed.Where is prof. Kabudi? Not frequently seen in the media as we used to see him under Magufuli. Why is he missing even in very crucial occasions like marking the beginning of covid-19 vaccination in the country?....
Na kurusha mimate kama kifutuBingwa wa kutoa macho[emoji848][emoji848][emoji848]
😂😂😂😂😂😂Na kurusha mimate kama kifutu
Kizazi cha kuhoji, hata kule mlianza hivi hivi.
Pengine jalalani kumempendeza zaidi
Atakuwa ana Mambo mengi jamani muacheni apmzike
hahahahahaa macho kodo kapotea haonekani...
Baada yule bush man mwenzake kufariki akawa mpole sana.
Ha ha ha!!!! Kakatwa mkia!!!!Wasalaam wanabodi!
Naomba kujuzwa. Kabudi hakuwa mtu wa kupotea kiasi hiki. Amekutwa na nini? Au anaumwa amelazwa hajiwezi?
Ndugu Kabudi amejiuzulu uwaziri kimya kimya au nini? Mbona sielewi? Au bado anaomboleza kifo cha “Mh mungu”? Namnukuu yeye?
Nauliza tu maana nimeona long time Mzee hayupo kwenye runinga hata chanjo sijui amepata yule!
Ha ha ha! Naona karudi jalalani!Kwani mwendazake si alishamtoa jalalani au alirudi?