Why Prof. Kabudi is shy and quiet these days?

Where is prof. Kabudi? Not frequently seen in the media as we used to see him under Magufuli. Why is he missing even in very crucial occasions like marking the beginning of covid-19 vaccination in the country?....
He’s a professor from the damping places he must be very shy indeed.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Wasalaam wanabodi!

Naomba kujuzwa. Kabudi hakuwa mtu wa kupotea kiasi hiki. Amekutwa na nini? Au anaumwa amelazwa hajiwezi?

Ndugu Kabudi amejiuzulu uwaziri kimya kimya au nini? Mbona sielewi? Au bado anaomboleza kifo cha “Mh mungu”? Namnukuu yeye?

Nauliza tu maana nimeona long time Mzee hayupo kwenye runinga hata chanjo sijui amepata yule!
 
Ha ha ha!!!! Kakatwa mkia!!!!
 
Back
Top Bottom