Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
dem mwenyewe aliwahi kusema anakuja dar,sasa sijui kama yupo!
hata hivyo sijui dem mwenyewe ni HE au SHE?
Atakuwa Semenya! Si unayajuaga ma Shemale?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dem mwenyewe aliwahi kusema anakuja dar,sasa sijui kama yupo!
hata hivyo sijui dem mwenyewe ni HE au SHE?
Huu ujumbe uko stray au?
Kama mlikutania JF sidhani mlitongozana kiwaziwazi hivi.Kama ni kuachana tumieni njia ileile... this is a private matter...if u r being stalked and you know ur stalker go report them to authorities.
Hee mmefikia huku? kweli the greater thinkers!
mh..Vera unamaanisha Invisible ama?🙄
HAHAHA Kaizer..usinitege mie...
mamlaka yeyote yenye kuweza kumsaidia...kama Invisible ana hizo powers basi na iwe hivyo .
Sasa mbona wakati mnakubaliana hadi kuonjeshana asali hatukuhusishwa, na ninaamini kuna njia mlitumia kuwasiliana which i think ingekuwa vema maneno haya yaliondikwa hapa kumfikia direct kwa njia ile ile, otherwise ungetaka ushauri jukwaa hili ungeipresent ieleweke ili wadau tuingie chimbo kusaka nondo za kukushauri, sasa namna hiio unatutega na kutupa homework isiyo lazima.
Ila pole kwa yote, ndo ubaya wa kuonjesha bila malengo.
Duuh!....watu mmekuwa wakali sana.....kisa nimeleta mada ya mtu anani obbsses hadi kuni google......
Weeh Bluray huyu obbsesser nimeshampleka police ameshindikana i think analipuliza si bure.....
Some would say, not without "evidence" from these forums, that you are a provocateur, an enticing seductive temptress so speak, would you deny that?
so all you need is evidence...for what?..just you know i have a stalker...yes i am a secret agent and i don't deny that....omg upo too concerned na hii issue kama stalker wangu LOL!.....garlie Bluray....na wewe go "google me".....I insist...
Lol,
My point hapa ni kwamba, labda wewe unajiweka kuwa target ya ma stalker, either kwa kujua au kwa kutokujua.
Kuna watu wana ukame wao ukiwapa ki smile tu mfadhwaiko, wewe unaenda kuwaonjesha asali kabisa!
Just hire me as your bodyguard and I will stalk the stalker. I am paid in rough diamonds though, rough diamonds and untraceable old $ 100 bills, that is just to underline the darker shade of my profession.
U game?
Astaghfirullah, astaghfirullah mnyaaz mngu pishia mbali!
Thought you didn't believe in Mungu.
Astaghfirullah, astaghfirullah mnyaaz mngu pishia mbali!