Why robert kiyosaki is dangerous rich dad poor dad

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Posts
3,763
Reaction score
5,607
KATIKA PITA PITA HUKU NA KULE MTANDAONI, NIMEKUTANA NA HABARI KUCHALLENGE VITABU VYA HUYU MTU MASHUURI KWA KUHAMASISHA MAENDELEO YA MTU BINAFSI NA UHURU WA KIFEDHA (FINANCIAL FREEDOM). LENGO LANGU SI KUWAKWAZA WAPENZI WA VITABU VYA AINA HII MAANA KIUKWELI HATA MIMI VIMENISAIDIA. LENGI NI KWAMBA NI VIZURI KUANGALIA VINAVYOWEZEKANA KWA KWAKO NA VISIVYO WORK KTK MAZINGIRA IULIONAYO UNAACHANA NAVYO. TUEPUKE KUFANYA VITABU HIVI KAMA MSAAFU AU BIBLIA. AHSANTENI.

[h=2]Why Robert Kiyosaki is Dangerous[/h]The danger isn’t in reading his books, IF you can separate the good advice from the bad. The problem is in reading his books and then falling for his get rich quick schemes, or as he may call them “secrets”. His secrets involve using massive debt as investment leverage. You know…the “use other people’s money to make money” lie. That is a dangerous approach to managing money, and one that can show you the fast track to bankruptcy and fast.
His good debt bad debt philosophy is not as harmful if you are using that advice to buy a home. Although, I adamantly encourage the 100% down plan, if you are using it to buy the home you want to live in you will probably be fine. This is assuming of course that you have taken some necessary steps beforehand. Like having an emergency fund of six months of expenses, have an additional 20% saved up for a down payment to avoid paying PMI, and buy within your means. (It’s not a bad idea to get a 15 year mortgage instead of a 30 either.)
BUT, when you take his advice on using debt to invest in real estate for example, you are doing more harm to yourself than good. There are not many investors with the financial know how to be able to pull this off, and the reason why is because they can never predict the future. When you try to predict the future and then sign your name on the dotted line to do so, you are risking everything. It may seem like a great idea to invest using other people’s money, but the one’s telling you to do so are likely trying to suck you into their “secrets revealed” box set or in this case a $45,000 seminar.
I don’t care who you are, your financial advice is not worth $45,000 dollars. In my book, the name Robert Kiyosaki has become a definite RED FLAG! In the end, Mr. Kiyosaki is ONLY interested in making as much money as he can, not helping others become wealthy. I do not believe he cares about you or your future.
I listen to and follow the advice of people who care about where I end up. I personally believe that there are far too many legitimate personal finance authors and bloggers out there that really want to help you, to even recommend reading one of Robert Kiyosaki’s books. There might be some good morsels in them, but you’d be better off getting your financial advice from someone who cares about the people they claim to be helping.


OTHER CRITICS ON HIM.[h=2][/h][h=3]Some disturbing complaints about RDPD[/h]Rich Dad Investigative Report – CBC
John T. Reed’s View (comprehensive notes)
Complaints Board
Review by I Will Teach You To Be Rich
Rip-off Report
Criticism noted on Wikipedia
Is Robert Kiyosaki a Fraud?
Deconstructing Robert Kiyosaki
Review: Rich Dad Poor Dad
Wall Street Journal article


 
People just trying to cash in on other people's success, (by selling information of how its not true..)

So long as the book has some few enough points (and it act as motivational) that's a merit and it being a best seller it shows that it worked for the gentleman and it was a success; after all don't take a book as be it end all just take some good points and leave the rest (don't make it as msahafu)..,

About other people's money is not a brainchild of Kiyosaki nor was it invented by him (as many good pointers in the book) Other people's money is what all the rich people are using from getting a loan to start a business and getting credits (the bad thing is not in getting credit but what you do with the credit).. This has been done since the days of The Richest Man in Babylon
 

yap, Good INPUT
 
Yale yalikuwa ni mawazo yake ambayo hakulazimisha mtu yoyote ayafuate..hao critics walivyoona ameuza na kupata umaharufu hawakupenda...lakini ni ukweli husiopingika ni watu wachache sana waliofanikiwa kifedha kwa kutegemea mshahara wa mwezi..elimu yetu inatuandaa kuwafanyia kazi watu
 
Ni vitabu vizuri, vimeandikwa katika mazingira ya kumarekani. Hivyo unaposoma angalia kama mazingira uliyonayo yanaruhusu nini. modify the advise kutokana na mazingira. All in all vitabu hivi vinasaidia kufungua macho
 

I understand your ignorance. Please read the following books for your own good:-

1. Why we want you to be rich; by Donald trump and Robert Kiyosaki (former is a billionaire and the later is a multi-millionaire)

2.Think and grow rich; by Napoleone Hill

3.Think big and kick ass in business and in life; by Donald Trump

4.Secrets of a millionaire mind; by T. Eker

And many more: I recommend you start with no:4 I guess you are broke and chances are that you will remain broke if that is the attitude you have for money.
 
Bookish people are never win
not always, we should distinguish between those who are just reading and those who are reading and practice the right skills and ideas given from books
 

kweli ndio maana vitabu hivi husaidia kufungua mtazamo wa mtu binafsi juu ya kuajiliwa na kujiajiri. kwa mfano kauli yake moja huyu jamaa anasema ""Employees pay the highest percentage of taxes. Big business and investors pay the least."" na anafafanua why na anaelezea kuhusu introduction to taxation AND MASHIRIKA YA SOCIAL SECURITY . ndio maana kampuni kubwa kama barrick (ABG) wanajisifia eti wafanyakazi wao wanalipa kodin nyingi serikalini na wao hawajisifii kwa kiasi wanacholipa kwani ni aibu. So pamoja na madhaifu ya watu hawa wana vitu especially MOTIVATION KATIKA KUWAAMASISHA WATU WATAFUTE MEANS ZA KUJIAJIRI NA KUINVEST NA SI KUAJILIWA.
 
Kidogo niachage shule

POLE, MTU ASIPO KUWA MAKINI ANAWEZA ONDOKA SHULE BILA KUJUA ANAENDA WAPI (PRE MATURE EXIT) KWA SABABU YA MSISIMKO TU,


  • [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Robert Kiyosaki Quotes ON EDUCATION[/FONT]
  • [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Education is the foundation of success. Just as scholastic skills are vitally important, so are financial skills and communication skills.[/FONT]
 
hivi vitabu na principles nyingi za kunyanyua uchumi applicability yake hapa nyumbani inakua ngumu sana kutokana na mazingira yetu

Ila kwa kiasi fulani naunga mkono wanaohoji baadhi ya approach zake kwani haziapply kila kona
 

I'VE UNDERSTOOD U MDAU, BUT LENGO KAMA UNGEKUWA MAKINI NA POST HII, SI KUONYESHA KUWA VITABU HIVI HAVIFAI LAKINI NIMEJARIBU KUONESHA PAMOJA NA MAMBO MAZURI TUNAYO YAPATA KATIKA VITABU HIVI PIA TUNATAKIWA KUWA MAKINI KWA VILE TUNAVYO VISOMA. YAWEZEKANA WEWE UPO SAWA LAKINI KUNA WATU NIMEKUTANA NAO WANAVIFANYA VITABU HIVI KAMA MASAAFU NA WANACHUKUA KILA KINACHOSEMWA KANA KWAMBA EVERYTHING IZ APPLICABLE HERE AT TZ.

VITABU UNAVYOSEMA NIMESOMA KASORO NAMBA 04, NA NINAVYO HADI SASA ninavisoma SOFTCOPIES, hardcopies, audio, documentaries na video za kutosheleza. FROM r. kiyosaki, brain tracy, napoleon hill, donald trumph. jim lohn, warren buffet, steve covey, dare carnegie na napollion hill. IT IS TUE THAT THE KNOWLEDGE AND SKILLS FROM THESE SUCCESSFUL SELF MADE MILLIONAIRES AND MULTI MILLIONAIRES ARE USEFUL BUT IT IS NOT TRUE THAT ALL THESE KNOWLEDGE AND SKILLS ARE UNIVERSAL APPLICABLE. AND AS FROM THE POST AND LINKS SOME CRITICS ARE TRUE.
 
Bob Proctor n Robert Kiyosaky pure utopians follow them and your finished... Theories and practical experience are differ..

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
vitabu hivi vimenisaidia sana mimi. Kila kitu kinaweza kuwa na udhaifu wake, hata kupanda gari kuna hasara kwamba ikianguka unaweza kufa. Kwa hiyo, hatusomi vitabu hivyo kama msahafu, lakini ni maarifa muhimu sana. kwa watu waliovisoma bado hoja ya hao critics ni dhaifu sana. Yeye hajatuambia twende kama wenda wa zimu kuchukua pesa za watu. Hizo tahadhari naye amezitoa tena kwa kirefu. Tusiwatishe watu. Mleta mada ameleta tahadhari tu, siyo kutisha watu.
 
Kidogo niachage shule
hahahahahahaha....hata mimi jombaaa lakini anacho kitabu flani hivi kinaelezea alivyokua anafeli school lakini aka hang around and finally akamaliza so am also haingin on....ila...kiukweli jamaa vitabu vyake vimenimotivate kinoooma laife naliona easy kimtindo so basically i can make more money and live my dreams....idea kama mia nane zazunguka medula yangu siav....za kufikia pale naona nittakua fresh...ebana..daaaaahhhhhh.....
 
Bob Proctor n Robert Kiyosaky pure utopians follow them and your finished... Theories and practical experience are differ..

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
utopians yeah i greatly concurr...lakini kuna baadhi ya vitu ni ukweli...watu wanaamka asubuhi kuwahi kazini ukichelewa dizain msala...unaogopa kufukuzwa kazi nin, then unaogopa kustaaafu...nin hujajipanga..nk..unaanza kuhanya mara uombe konctracts ziwe extended mara nyingi hufanyika kwa malecturers vyuoni mtu kastaafu anaomba apewe contracts..nin na nin...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…