Why robert kiyosaki is dangerous rich dad poor dad

Why robert kiyosaki is dangerous rich dad poor dad

unapo nunua vitabu sio kila utakacho kisoma lazima uki-apply. kuna vingine utaishia kujua tuu na sio kuvifanyia kazi hapo hapo.

hii ni kwa sababu kila mtu anakua katika mazingila yake. UNAWEZA KUJUA KITU NA UKAMSHAURI MTU MWINGINE AKITUMIE HICHO KITU NA AKAFANIKIWA HATA KAMA WEE HAukufanikiwa.

NA NDIO MAANA KUNA WATU WANOITWA WASHAURI. SIO KILA ATACHO KUASHAURI MTU NI LAZIMA KIWE KILISHA WORK KWAKE.

NA NDIO MAANA HATA NYIE HUA MUNAIKOSOA SERIKARI WAKATI WENGINE WENU HAMJAWAHI HATA KUA WENYEVITI WA VIJIJI. JE. TUKIFUATA MFUMO HUO SI KILA TUTAKACHO SEMA KITAKUA NULLIFIED?

UNAPOSOMA VITABU USITEGEMEE KUA UTAFANYIA KAZI KILA UTAKACHO KISOMA. LA SIVYO TUNGESHA KUA NA WATU WENGI WALIOCHANGANIKIWA KWASABUBU YA KUSOMA VITABU VINGI.

HATA WEE MWENYEWE UKIJIANGALIA... UNAFAHAMU VITU VINGU KULIKO VILE UNAVYO APPLY, LAKINI BADO UNAVIKUBALI HATA VILE AMBAVYO HUJA-APPLY.

DON'T MERE CRITISIZE BECAUSE THEY WON'T WORK FOR YOU BECAUSE THE SAME MAY WORK TO OTHERS.

WHAT YOU READ AND UNDERSTAND IN LIFE IS NOT ONLY FOR YOU... IT IS ALSO FOR OTHERS. SOO.. DON'T READ THEM ONLY FOR U... READ THEM ALSO FOR OTHERS.
 
I'VE UNDERSTOOD U MDAU, BUT LENGO KAMA UNGEKUWA MAKINI NA POST HII, SI KUONYESHA KUWA VITABU HIVI HAVIFAI LAKINI NIMEJARIBU KUONESHA PAMOJA NA MAMBO MAZURI TUNAYO YAPATA KATIKA VITABU HIVI PIA TUNATAKIWA KUWA MAKINI KWA VILE TUNAVYO VISOMA. YAWEZEKANA WEWE UPO SAWA LAKINI KUNA WATU NIMEKUTANA NAO WANAVIFANYA VITABU HIVI KAMA MASAAFU NA WANACHUKUA KILA KINACHOSEMWA KANA KWAMBA EVERYTHING IZ APPLICABLE HERE AT TZ.


VITABU UNAVYOSEMA NIMESOMA KASORO NAMBA 04, NA NINAVYO HADI SASA ninavisoma SOFTCOPIES, hardcopies, audio, documentaries na video za kutosheleza. FROM r. kiyosaki, brain tracy, napoleon hill, donald trumph. jim lohn, warren buffet, steve covey, dare carnegie na napollion hill. IT IS TUE THAT THE KNOWLEDGE AND SKILLS FROM THESE SUCCESSFUL SELF MADE MILLIONAIRES AND MULTI MILLIONAIRES ARE USEFUL BUT IT IS NOT TRUE THAT ALL THESE KNOWLEDGE AND SKILLS ARE UNIVERSAL APPLICABLE. AND AS FROM THE POST AND LINKS SOME CRITICS ARE TRUE.
yes nakubaliana na wewe jombaa inabidi usome hivi vitabu kwa quotion..infact kila kitu inabidi usome kwa quotion..hata Mungu mwenyewe anajua hili ndo mana alisema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa...so mazingira ya marekani na tanzania ni completely different so mtu inabidi uwe muangalifu..chukua yanayo faa ukiona jamaa anakulisha tango pori una sepa..hio ndo akili..aouver...
 
Wale wa FOREVER LIVING wanaanzaga kukuimbisha hivihivi,., mmh mambo ya pyramid, sijui lakini"?:A S 27: :doh:
 
Wale wa FOREVER LIVING wanaanzaga kukuimbisha hivihivi,., mmh mambo ya pyramid, sijui lakini"?:A S 27: :doh:

Personally I don't recommend to take attention to these people. Kwa upeo wangu mdogo hawa jamaa utakuwa unafanya kazi huku wengine wananafaidi maradufu. Nadhani hii elimu Inayotolewa na hawa jamaa ni uzoefu wao wa kimaisha na jinsi walivyofanikiwa (general knowledge which is 80% in life and other 20% we learn at school). Vitabu Vinasaidia ila inatupasa kujua tunahitaji nini maishani na kuchukua maarifa yanayo kidhi mahitaji yetu japo kama tunavoona wengine wanamapungufu.
 
it is not true actually People just trying to cash in on other people's success..
some times it is good but please dont heart any Booker who has given you a best motivation in your life its all about Robert Kiyosaki is my best motivator
 
Back
Top Bottom