Why robert kiyosaki is dangerous rich dad poor dad

unapo nunua vitabu sio kila utakacho kisoma lazima uki-apply. kuna vingine utaishia kujua tuu na sio kuvifanyia kazi hapo hapo.

hii ni kwa sababu kila mtu anakua katika mazingila yake. UNAWEZA KUJUA KITU NA UKAMSHAURI MTU MWINGINE AKITUMIE HICHO KITU NA AKAFANIKIWA HATA KAMA WEE HAukufanikiwa.

NA NDIO MAANA KUNA WATU WANOITWA WASHAURI. SIO KILA ATACHO KUASHAURI MTU NI LAZIMA KIWE KILISHA WORK KWAKE.

NA NDIO MAANA HATA NYIE HUA MUNAIKOSOA SERIKARI WAKATI WENGINE WENU HAMJAWAHI HATA KUA WENYEVITI WA VIJIJI. JE. TUKIFUATA MFUMO HUO SI KILA TUTAKACHO SEMA KITAKUA NULLIFIED?

UNAPOSOMA VITABU USITEGEMEE KUA UTAFANYIA KAZI KILA UTAKACHO KISOMA. LA SIVYO TUNGESHA KUA NA WATU WENGI WALIOCHANGANIKIWA KWASABUBU YA KUSOMA VITABU VINGI.

HATA WEE MWENYEWE UKIJIANGALIA... UNAFAHAMU VITU VINGU KULIKO VILE UNAVYO APPLY, LAKINI BADO UNAVIKUBALI HATA VILE AMBAVYO HUJA-APPLY.

DON'T MERE CRITISIZE BECAUSE THEY WON'T WORK FOR YOU BECAUSE THE SAME MAY WORK TO OTHERS.

WHAT YOU READ AND UNDERSTAND IN LIFE IS NOT ONLY FOR YOU... IT IS ALSO FOR OTHERS. SOO.. DON'T READ THEM ONLY FOR U... READ THEM ALSO FOR OTHERS.
 
yes nakubaliana na wewe jombaa inabidi usome hivi vitabu kwa quotion..infact kila kitu inabidi usome kwa quotion..hata Mungu mwenyewe anajua hili ndo mana alisema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa...so mazingira ya marekani na tanzania ni completely different so mtu inabidi uwe muangalifu..chukua yanayo faa ukiona jamaa anakulisha tango pori una sepa..hio ndo akili..aouver...
 
Wale wa FOREVER LIVING wanaanzaga kukuimbisha hivihivi,., mmh mambo ya pyramid, sijui lakini"?:A S 27: :doh:
 
Wale wa FOREVER LIVING wanaanzaga kukuimbisha hivihivi,., mmh mambo ya pyramid, sijui lakini"?:A S 27: :doh:

Personally I don't recommend to take attention to these people. Kwa upeo wangu mdogo hawa jamaa utakuwa unafanya kazi huku wengine wananafaidi maradufu. Nadhani hii elimu Inayotolewa na hawa jamaa ni uzoefu wao wa kimaisha na jinsi walivyofanikiwa (general knowledge which is 80% in life and other 20% we learn at school). Vitabu Vinasaidia ila inatupasa kujua tunahitaji nini maishani na kuchukua maarifa yanayo kidhi mahitaji yetu japo kama tunavoona wengine wanamapungufu.
 
it is not true actually People just trying to cash in on other people's success..
some times it is good but please dont heart any Booker who has given you a best motivation in your life its all about Robert Kiyosaki is my best motivator
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…