Why Russia is not a 7 Group industrial state

Why Russia is not a 7 Group industrial state

[emoji23][emoji23]
Kwani Tanzania hakuna raia wa kigeni wanaoishi na kufanya kazi hapa nchini?
Hilo swali muulize huyo mwenzako aliye sema eti hajawahi kuona mtu akienda Urusi kufanya kazi.
Watu wanazamia mpaka somalia, Congo Sudan kusini sembuse Urusi?
 
utatengeneza silaha ya kuwauzia majambazi halafu utake kushindana na wenzio wanaotengeneza consumer goods!? Labda nikuulize tu, ni nani kwenye ukoo wenu anatamani kwenda Russia kutafuta maisha bora au kutafuta ajira km kweli ni nchi ya viwanda? Waafrika wangapi wanakamatwa wakizamia Russia kusaka fursa za kimaisha? Siku zote ukiendekeza chuki na mahaba lazima uwe mpumbavu na mpuuzi.
Kwa hiyo ww kwako nchi ikiwa na wahamiaji wengi ndo kipimo cha maendeleo ya kiviwanda ya nchi hiyo ?

China si ndo nchi yenye viwanda vingi kuliko zote duniani mbona waafrika hawazamii?
Korea kusini na Japan si wameendelea kiviwanda mbona watu hawa zamii?

Mbona waafrika ,wahindi,wafilipino wanazamia mashariki ya kati hapo mashariki ya kati kuna viwanda gani?

Nyinyi waafrika mnao zamia S.Afrika kila siku hapo S.afrika ina viwanda gani kuizidi Urusi?

Watu wanazamia mpaka somalia, Congo, Sudan kusini sembuse Urusi?
 
Ni Taifa kubwa la Tatu Dunia kwa watu wengi kuhamia au sijui ulikuwa unamaanisha nini?

Kinachofanya usijue habari zake ni kutokana na Western propaganda na lugha tu.
 
Kuna watu hawajui petrol, diesel na gesi vinatoka Russia.

Kuna hawajui mikate, chapati maandazi ngano tunayopikia na mafuta ya kupikia yanatoka Russia

Kuna watu hawajui mbolea tunayotumia kwenye mashamba yetu nyingi inatoka Russia

The list is long, ndio maana hii vita imepelekea kuyumba kwa uchumi wa dunia.

Wacha ninywe Vodka nikalale
 
Kwel kuna watu upeo wao ni mdogo mpk wanaboa.ety mtu anasema “cjawai kuona “xx usipoona ww ndio nn.Kua vitu vyote vinatokea ulimwenguni umeviona au kusikia.
 
Nike kutoka US ni popular kuliko brand yoyote ya russia
 
Unafiki.

Russia was added to the political forum from 1997, which the following year became known as the G8. In March 2014 Russia was suspended indefinitely following the annexation of Crimea, whereupon the political forum name reverted to G7.
Kiufupi Urusi ilitolewa katika G8 mwaka 2014 mara baada kuichukua Crimea. Ni Jukwaa la Kisiasa zaidi inshort
IMG_20230523_215520.jpg
 
Ww ni mpumbavu kwani ndani ya Urusi hakuna raia wa kigeni wanao ishi na kufanya kazi ndani ya nchi hiyo?
Utawatafuta kwa tochi, unaambiwa hao watu ni wabaguzi ni balaa hasa kwa watu weusi, wanajua sisi ni manyani tu. Sio watu hao bwana.
 
Utawatafuta kwa tochi, unaambiwa hao watu ni wabaguzi ni balaa hasa kwa watu weusi, wanajua sisi ni manyani tu. Sio watu hao bwana.
Kumbe wafanya kazi wa kigeni ni razima wawe weusi na sio watu kutoka nchi nyingine?
 
Kwa hiyo ww kwako nchi ikiwa na wahamiaji wengi ndo kipimo cha maendeleo ya kiviwanda ya nchi hiyo ?

China si ndo nchi yenye viwanda vingi kuliko zote duniani mbona waafrika hawazamii?
Korea kusini na Japan si wameendelea kiviwanda mbona watu hawa zamii?

Mbona waafrika ,wahindi,wafilipino wanazamia mashariki ya kati hapo mashariki ya kati kuna viwanda gani?

Nyinyi waafrika mnao zamia S.Afrika kila siku hapo S.afrika ina viwanda gani kuizidi Urusi?

Watu wanazamia mpaka somalia, Congo, Sudan kusini sembuse Urusi?
Taratibu mkuu utatoboa mshono sasa😁😁😁.
 
Back
Top Bottom