Hilo swali muulize huyo mwenzako aliye sema eti hajawahi kuona mtu akienda Urusi kufanya kazi.[emoji23][emoji23]
Kwani Tanzania hakuna raia wa kigeni wanaoishi na kufanya kazi hapa nchini?
G7 is an outdated gang. If it was serious gang kwa maana ya kuwa na viwanda basi china na india zingekuwemoWew una made in Russia ipi hapo nyumbani kwako? Hebu tuanzie hapa kwanza.
Kwa hiyo ww kwako nchi ikiwa na wahamiaji wengi ndo kipimo cha maendeleo ya kiviwanda ya nchi hiyo ?utatengeneza silaha ya kuwauzia majambazi halafu utake kushindana na wenzio wanaotengeneza consumer goods!? Labda nikuulize tu, ni nani kwenye ukoo wenu anatamani kwenda Russia kutafuta maisha bora au kutafuta ajira km kweli ni nchi ya viwanda? Waafrika wangapi wanakamatwa wakizamia Russia kusaka fursa za kimaisha? Siku zote ukiendekeza chuki na mahaba lazima uwe mpumbavu na mpuuzi.
Wew una made in Russia ipi hapo nyumbani kwako? Hebu tuanzie hapa kwanza.
Ni Taifa kubwa la Tatu Dunia kwa watu wengi kuhamia au sijui ulikuwa unamaanisha nini?utatengeneza silaha ya kuwauzia majambazi halafu utake kushindana na wenzio wanaotengeneza consumer goods!? Labda nikuulize tu, ni nani kwenye ukoo wenu anatamani kwenda Russia kutafuta maisha bora au kutafuta ajira km kweli ni nchi ya viwanda? Waafrika wangapi wanakamatwa wakizamia Russia kusaka fursa za kimaisha? Siku zote ukiendekeza chuki na mahaba lazima uwe mpumbavu na mpuuzi.
AK-47, Kamaz TruckWew una made in Russia ipi hapo nyumbani kwako? Hebu tuanzie hapa kwanza.
Kiufupi Urusi ilitolewa katika G8 mwaka 2014 mara baada kuichukua Crimea. Ni Jukwaa la Kisiasa zaidi inshortUnafiki.
Russia was added to the political forum from 1997, which the following year became known as the G8. In March 2014 Russia was suspended indefinitely following the annexation of Crimea, whereupon the political forum name reverted to G7.
Utawatafuta kwa tochi, unaambiwa hao watu ni wabaguzi ni balaa hasa kwa watu weusi, wanajua sisi ni manyani tu. Sio watu hao bwana.Ww ni mpumbavu kwani ndani ya Urusi hakuna raia wa kigeni wanao ishi na kufanya kazi ndani ya nchi hiyo?
Kumbe wafanya kazi wa kigeni ni razima wawe weusi na sio watu kutoka nchi nyingine?Utawatafuta kwa tochi, unaambiwa hao watu ni wabaguzi ni balaa hasa kwa watu weusi, wanajua sisi ni manyani tu. Sio watu hao bwana.
Au aseme made in uk ama USANa ww tuambie made in Canada unayo itumia nyumbani kwako.
Taratibu mkuu utatoboa mshono sasa😁😁😁.Kwa hiyo ww kwako nchi ikiwa na wahamiaji wengi ndo kipimo cha maendeleo ya kiviwanda ya nchi hiyo ?
China si ndo nchi yenye viwanda vingi kuliko zote duniani mbona waafrika hawazamii?
Korea kusini na Japan si wameendelea kiviwanda mbona watu hawa zamii?
Mbona waafrika ,wahindi,wafilipino wanazamia mashariki ya kati hapo mashariki ya kati kuna viwanda gani?
Nyinyi waafrika mnao zamia S.Afrika kila siku hapo S.afrika ina viwanda gani kuizidi Urusi?
Watu wanazamia mpaka somalia, Congo, Sudan kusini sembuse Urusi?