Why should I confess?

Ngoja niende, nika fanye order ya vidole vya Mrs Pablo πŸ˜‚πŸ˜ƒ
ukiwa na B moja tuu navileta mwenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚, Kuna mtu nammanya yeye alikuwa akinunua ticket za ndege huko ticket ya dola 1000 ananunua kwa dola 100 kutwa kujipostisha anapanda ndege , Yani maisha ya watu sio ya kuiga au kutamani kabisa maana hujui behind amepitia nini mpaka kupost post anaishi maisha expensive πŸ˜‚
 
yaani ana nunua used ticket ili awa rigishie au sija elewa???.

hivyo vidole usi vikate mwenyewe, vina takiwa kukatwa kwa meno ili iwe fairπŸ€£πŸ˜‚
 
Huyo mwenye tatoo nimempenda siwezi kuishi bila yeyeβ˜ΉπŸ™
 
Tatizo mmeandika sana Looh,. Hata sijui nimjibu nani nimwache naniπŸ˜‚πŸ˜‚

PMs hazifunguki wakuu, sijui shida ni simu yangu au kwa wote... So siwezi kuwajibuni
 
DahπŸ˜“πŸ˜“πŸ˜“,.
Ila to be honest wakuu hili suala la kutapeliwa kwa jinsi mlivyolichukulia baadhi yenu linaniumiza sana japo mie ni mpuuziaji sana ila inafika kipindi linanikwaza inabidi tu nifunguke,.

Mbona ule uzi niliweka tu japo nipate faraja na wala siku intend mtu yeyote yule anisaidie( Nenda kapitie mwenyewe).. Ni members wenyewe ndio ambao waliniomba Account number hadharani na nikaiweka tena hadharani kabisa watu wakanifuta machozi na niliweka tena shukrani zangu hadharani na majina nikawataja wote Kwasabu sikuexpect kama ingekuwa vile ,. Kwasabu Mie ni mtu ambaye siwezi kukaa na kitu rohoni chochote ninachokipitia huwa naandika labda kama hunifuatiliii na nikwambie tu humu watu wengi sana wananifahamu nje na Jf na wananifahamu kuanzia nyumbani,. Nakofanyia kazi na hata baadhi ya ndugu zangu pia wanawafahamu,. Na sina chochote cha kuficha ndio maana kitu chochote kiwe cha kijinga au cha maana huwa naandika kwa hii hii I'd yangu..

Hizi roho zenu za kwanini na chuki, na wivu wenu ulioshindwa kujificha ndio ambazo zinasababisha hata walio na matatizo washindwe kusaidikaπŸ™πŸ™.

But mnivumilie nikifika 24yrs naacha kuandika andika, I promise
 
Thanks🀝
 
Embu tuone picha zao dada lee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…