Why should I confess?

Kuna mtu anakutafuta huko pm
Amenifungia tatizo,. Na mods nao ndio kabisa hawataki niingie tena,. Na ile ya G9 mie nashindwa kwasabu umenipiga tofali😑
 

Attachments

  • Screenshot_20250124-195716_Chrome.jpg
    94.8 KB · Views: 2
Thank you too...Ile inshu yetu vipi boss umenichinjia baharini
Mkuu Pm hazifunguki masikini,. Kila nikiingia nijaribu kuchukua namba lakini inaandika tu connecting,.
Au nikwambie tu hapahapa kama hutojali?,. Au nipe namba yako nicopy chap halafu ufute comment
 
Ikihusiana weka Like

"It is now the Official policy of the United states" - SH Trump
only two genders Identified.

Male and Female

Namie naweka yangu ya mutima
 
Plan yao A imefanikiwa.
Sasa subiri usagwe.
 
Yaani Bado hujatimiza Miaka 24!?. Ishu Yako inafanana na sister wangu, ameshafariki na kilichomuondoa ni marafiki kama hao.

Nikupe story yake fupi huenda ukapata somo.

Sister wangu alikuwa na marafiki zake kama hivyo ulivyohadithia , popote alipo wao wapo popote walipo yeye yupo, yaani ukawa ni udada wa kushibana na kusaidiana, nyumbani hakuna anaejua kma anamarafiki wa aina hii maana alikuwa haji nao nyumbani, sasa wakaanza kumdangia ( kumuuza) , wao wanapatana na bwana halafu wanamseti wao wanabeba kikubwa yeye anapata kidogo.

Kuna siku wale wadada wakanwambia Kuna mchongo south utatupatia pesa nyingi sanaa, sister kuskia pesa ndefu akajaa kwenye mfumo, ila akasema twendeni nikaage nyumbani, huku nyumbani mama halali ni Dua , Dua na yeye maana sister alipotea mwezi mzima hatujui wapi alipo. Akafanikiwa kuja , wakakakaa chumbani mama na bintie , mama anamwambia nimekuota umepelekwa south na wenzio wamekupasua tumbo wamekuwekea madawa ya kulevya umeletwa umekufa, dada anakiri ni kweli ninasafari ya south na hapa nimekuja kukuaga kesho safari, mama akamwambia ukienda hurudi mwanangu, sasa ntafanyaje!?. Mama akasema ntashughulika nao niachie mimi, akaenda sebleni akawaambia " Jamani nimefurahi kuwaona lakini naombeni mwenzenu mumuache kwa Leo nina maongezi nae ya kina, kesho atakuja", basi wakaondoka jpo kishingo upande. Sister akanusurika hpo ila kule kumdangia wazungu hakukumuacha salama akapata maradhi mazito akaenda.

Misaada Yao ndo Huwa nguvu Yao kubwa ya kukuvuta kwao, wanaweza kuwa na urafiki hata miaka 10 wanajua wanawekeza pesa zao wanazokupa zitarudi tu, sister kabla hayaaga anamwambia mama " mama kilichoniua ni marafiki wabaya, walikuwa wananiuza kwa wazungu bila mimi kujua😭😭😭".

Umefanya nimemkumbuka dada yangu Leo😭😭😭

Cha kufanya.....

Anza kutokupatikana.... Lee vipi Leo tutoke , hapana naumwa sijiskii vizuri, mara nyumbani nina kazi nyingi, usiishe sababu.

Usiagize zawadi kutoka kwao tena, wakizileta pokea hkuna namna.

Wakipiga simu siku pokea siku potezea, Sms ni hivyo hivyo, kwanini hujapokea simu jibu niliiweka silent au nilikuwa mbali nayo.

Anza kuwapotezea taratiibu mwisho wa siku nawao watajiongeza watajua hutaki mazoea nao.

Ila ukisema hawajanikosea, na roho nyingne unataka kuendelea kupokea misaada kutoka kwao , my dear mwisho hautokuwa Mzuri kwako , ni either wakupoteze mazima familia Yako ndo itabakia inahangaika na wao washakuwa mamilionea.

Ikiwezekana mshirikishe mama akusaidie kuondokana nao. Sister wangu aliponeshwa na mama, sijui angeenda nao siku ile kama tungewahi hata kumuona machoni tena. Na hivi wewe unalewa nao rahisi kuongea na muhudumu anafanya yake unalala umeisha.
 
It can’t be true Leejay49
 
Daah inatisha...
 
Dah,. ila nyie kuna watu wabaya sana aisee
Nimekupata vizuri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…