vitangaye
Member
- Jul 28, 2015
- 45
- 26
Why should I live? ( kwa nini niishi na kwa nini ninaishi?) who am I?(mimi ni nani?)What is the purpose of life?
Ukishindwa kupata majibu ya maswali haya basi kifo cha kujinyonga (suicide death) kiko mlangoni. Mda wowote unaweza ukajiua.Nimeshudia watu wengi sana waliojiua( poisoning) na walionusurika na kifo cha kujiua , wengi sana huwa wanasema "sioni faida yoyote ya kuishi! Kwa nini niishi? Kuna faida gani ya kuishi? Wengine hushindwa kupata majibu ya maswali haya kutokana na matatizo waliyonayo .matatizo hayo ndio ambayo hulower self esteem ya mtu na baadaye kuona hana thamani ya kuishi na kuona Kama hatakiwi na kila mtu.Ukipata majibu ya maswali hayo hasa kwa mtazamo chanya hujijaribu kujiua wala kujizuru , utakuwa ni mtu wa mafanikio katika maisha yako.
Kwa mwenye uelewa zaidi au aliyewahi kujaribu kujinyonga.