Why should I live?

Why should I live?

vitangaye

Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
45
Reaction score
26
Why should I live? ( kwa nini niishi na kwa nini ninaishi?) who am I?(mimi ni nani?)What is the purpose of life?
Ukishindwa kupata majibu ya maswali haya basi kifo cha kujinyonga (suicide death) kiko mlangoni. Mda wowote unaweza ukajiua.Nimeshudia watu wengi sana waliojiua( poisoning) na walionusurika na kifo cha kujiua , wengi sana huwa wanasema "sioni faida yoyote ya kuishi! Kwa nini niishi? Kuna faida gani ya kuishi? Wengine hushindwa kupata majibu ya maswali haya kutokana na matatizo waliyonayo .matatizo hayo ndio ambayo hulower self esteem ya mtu na baadaye kuona hana thamani ya kuishi na kuona Kama hatakiwi na kila mtu.Ukipata majibu ya maswali hayo hasa kwa mtazamo chanya hujijaribu kujiua wala kujizuru , utakuwa ni mtu wa mafanikio katika maisha yako.
Kwa mwenye uelewa zaidi au aliyewahi kujaribu kujinyonga.
 
Binadamu hatuna chochote, hata maisha tunayoishi sio yetu. Aliyetuumba na kutuweka duniani ana kusudi na maisha ya kila mmoja wetu.
Mtihani upo kwenye kulitambua kusudi lako na kulitekeleza.

Tupo duniani kwa muda tu, we are just on earth temporarly, our permanent residency is in heaven.
Tusijisahau na kufikiri duniani ni mahali petu pa kuishi milele.

Samahani mtazamo wangu umeegemea sana kiimani na hasa kitabu cha Biblia takatifu.
Kinasisitiza kwamba Mungu ndio chanzo cha maisha yetu, lazima urudi kwake na uishi kwa kanuni alizoziweka ili utimize kusudi lako kuwepo duniani.

Anaetengeneza kitu ndio anajua kusudi la kukitengeneza hicho kitu, aliyetengeneza ndege ana makusudi tofauti na aliyetengeneza gari au boat. Mtengenezaji ndie mtu sahihi wakujua makusudi ya kifaa/chombo.

Kwa msaada zaidi, kuna kitabu kinaitwa The purpose Driven Life, kimeandikwa na Rick Warren.
 
IMG-20160408-WA0055.jpg

Sasa ni nani anayemshangaa mwenzake?
 
Niulize hayo maswali mimi ninaeishi south sudan, kila mahali milio ya risasi, niliyeshuhudia mke wangu akipasuliwa tumbo kwa panga na waasi ili waone mtoto kakaaje tumboni (mbele ya macho yangu), niliyelazimishwa kumtwanga mtoto wangu katika kinu mpaka alainike (kwa nguvu), niliyeulizwa kama nataka kukatwa miguu yote au mikono yote (nikachagua mikono), sijapata chakula hii siku ya tatu na sijui kesho itakuwaje! whats the reason ya mimi niishi?
kama kujiua ni FATE yako hayo maswali hayana maana!
 
Kuna amaswali ambayo binadam dahar na dahar alikua akijiuliza na kama ilivyokawaida binadam anapokosa jibu hufanya conclusion ambayo ni negative
 
Tatizo kila jibu la swali huzaa swali na kila unavyozid kujua ndio unazid kujiona hujui matokeo yake binadam anajikuta anakua mtumwa katika haya maswali philosophers wa mwanzo kabisa ancient philosophers walijiuliza hakukua na majibu zaid ya kuzd kuibua maswali na mpaka Leo tunaowaita morden philosophers hawana majibu kuna
 
Stress za maisha na matatizo ndo yanatupelekea kuwaza haya maswali.
lakini kama uchumi wako uko stable vitu kama hivo utavisikia kwa watu tu.
 
Dunia kuna mawili.tuu ya.muhimu

KAZI na RAHAAAA

Fanya kazi pata pesa kula rahaaaa

Watu.hamna furahaaa kwasababu mnacomplicate sana juu maisha

Maisha ni haya haya wakuu,mtazid kusema wengine wachawi kumbe unajiroga mwenyewe

Manz/dume akikutenda tupe kule tafute mwingine..maisha simple sana

Ukipata pesa enjoy,ukikosa lala tafakali utapata vipi...

Unapaswa kujikubali,kujipenda na.kutambua wewe na hakuna mtu kama wewe..

Sasa majibu.ya maswali ya mtoa mada yanapatikana humu ndan...kwann ujinyonge wkt unajipenda,

Yaaan.uuche rahaa za dunia na kwenda kugeuka mzoga

Na pia watu waelewe kwamba hakuna kitu after life..when you die inamaana we ni chakula cha mchwaa,funza.na.mang`onyo hakuna peponi wala motoni...nikuoza tuu

Wana kulea raahaa,siku zipo speed balaaaa
 
Niulize hayo maswali mimi ninaeishi south sudan, kila mahali milio ya risasi, niliyeshuhudia mke wangu akipasuliwa tumbo kwa panga na waasi ili waone mtoto kakaaje tumboni (mbele ya macho yangu), niliyelazimishwa kumtwanga mtoto wangu katika kinu mpaka alainike (kwa nguvu), niliyeulizwa kama nataka kukatwa miguu yote au mikono yote (nikachagua mikono), sijapata chakula hii siku ya tatu na sijui kesho itakuwaje! whats the reason ya mimi niishi?
kama kujiua ni FATE yako hayo maswali hayana maana!
Inabidi upambane na hali yako

Revenue ni kitu muhimu smtymZ
 
Dunia kuna mawili.tuu ya.muhimu

KAZI na RAHAAAA

Fanya kazi pata pesa kula rahaaaa

Watu.hamna furahaaa kwasababu mnacomplicate sana juu maisha

Maisha ni haya haya wakuu,mtazid kusema wengine wachawi kumbe unajiroga mwenyewe

Manz/dume akikutenda tupe kule tafute mwingine..maisha simple sana

Ukipata pesa enjoy,ukikosa lala tafakali utapata vipi...

Unapaswa kujikubali,kujipenda na.kutambua wewe na hakuna mtu kama wewe..

Sasa majibu.ya maswali ya mtoa mada yanapatikana humu ndan...kwann ujinyonge wkt unajipenda,

Yaaan.uuche rahaa za dunia na kwenda kugeuka mzoga

Na pia watu waelewe kwamba hakuna kitu after life..when you die inamaana we ni chakula cha mchwaa,funza.na.mang`onyo hakuna peponi wala motoni...nikuoza tuu

Wana kulea raahaa,siku zipo speed balaaaa
Mkuu kilichopo hapa ni kutaka kupunguza vifo vya kujiua.Mtu anapota majibu ya maswali haya ni lazima tu ataona uthamani wa maisha. Kwa nini aishi?
 
Back
Top Bottom