Why should Magufuli reject Sylvia Mulinge as Vodacom CEO

Hii lugha nani atamtafasiria mlengwa???.... Jarbu kutumia lugha ya Kizalendo
 
Reactions: Oii
Statistics zinaonyesha juu ya utendaji wa Wakenya. Nakumatt, Uchumi wameacha madeni kwa suppliers wa Tanzania.

Shareholders have the rights to dismiss her.

The information should reach the majority of shareholders.
 
Mbongo hajawahi na hatakaa akubali ukweli hata siku moja.............Hata hivyo haishangazi maana nchi ambayo viongozi ni wapika Data unafikiri wananchi wa kawaida watakuwaje..............We unataka upewe uongozi wa hali ya juu wakati huna credibility na exposure .............What kind of nonsense is that?
 
Do you real think out of 45milions + of the citizens hakuna mtanzania mwenye hizo qualifications za kuongoza hiyo Vodacom? Fikiri kwanza

Kama yupo, hawamjui. Its not their job to interview 45 million people. Its their job to gt the right person from those they have access to. Nawewe fikiri kidogo
 
Kwa iyo google ikisema kenya ipo ndani ya tanzania utaamini?? Use ur common sense.

Naona hujui Google inavyofanya kazi. Google is a search engine that can direct you to reliable sources of information that can provide Safaricom and Vodacom financial statements. Its not google that gives you the information.

Information unayoulizia ipo online, accessible very easily. Time to use YOUR common sense
 
Povuuuuu!hii thread raha kweli,ehe endeleeni kulialia na kulamba lolo!
 
Clearly u r not using yours. Google is a search engine that can direct you to reliable sources of information that can provide Safaricom and Vodacom financial statements. I forgive you for your ignorance
Being x10 bigger to you means only financially?? How about being bigger by coverage and number customers?? So not everything safaricom is 10x bigger than vodacom tz... some are less and some are only twice... saying its just 10x bigger is the same as saying usa is bigger than russia and ends there...
 


Profits kaka, profits! Thats the language of business
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…