thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,556
Hiko hivi.. Mtu aki invest pesa nyingi angependa amweke mtu anaemfahamu kusimamia huo mradi wake, siyo rahisi mtu aka weka mabilioni yake halafu aanze kuitisha interview kutafuta mtu wa kusimamia. Dangote ana viwanda vya cement kabla hajaja Tz, hao wahindi unaosema wewe wametoka kwenye viwanda vyake vingine na anawajua utendaji wao au wamependekezwa na watu ambao amepiga nao kazi.Unfortunately the truth is bitter for most of us Tanzanians but let be realistic here most of us are incompetent when comes in running huge companies and institutions like these ...........It is not a surprise even the new Cement factory under Dangote Group in Mtwara -Tanzania is headed by Indians in its top Executive positions ............Do you think that Dangote Group & Co. did this accidentally? ...............The truth hurts but we have to swallow these pills and accept our backwardness and incompetency .............This has something to do with the way our education institutes groom and nutures people to carry out heavy tasks like these especially economical and businesses decision making ..............Geza Ulole has pointed fingers to Kenyans on how they have miserably failed in running several business entities in our country , but trust me we ain't such smart either and every non hypocrite Tanzanian knows this , If we have failed to run our own ministries in a proper manner , shall we be able to run such big businesses entities which involves huge capital ,resources and severe dynamic scenarios which needs smart decisions all the time ?.................
Let build or own capability in holding such positions before point out our fingers to Kenyans ,Our education system currently is a fucking joke .We don't have to deceive ourselves on this ..............We don't have such intellectuals to head on these posts at all , let scrutinize our poor education system and realise where we have stumbled and fallen for decades ........
Mfano Bakhressa ame chukua watanzania ambao anajua uwezo wao kutokana na kufanya nao kazi hapa na kwenda kufungua viwanda nchii zingine, mfano Rwanda. Usijidanganye kwamba hakuna Mtz ambae anaweza hiyo kazi. Kuna mifano ya watu waliopewa kazi kutoka abroad na wakazingua, na wazawa waliopewa kazi abroad na ndani na wakaweza. Hii mentality ya vyuo vyetu vibovu ni bora unge ongelea uwezo wako. Kuna watu kuanzia primary mpaka degree ya kwanza kapiga bongo, abroad wana enda kupiga masters kwenye top versities na kugalagaza wazungu. Ata uko Kenya C.E.O wa Safaricom ni mzungu haina maana kwamba Kenya nzima hamna mtu anae weza hiyo kazi. Hii ni sawa nakuamini miss Tz ni msichana mzuri kuliko wasichana wote Tz