king kan
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,639
- 2,066
Ulichoandika sijakielewa.Don't you know kwamba manji ana own 17%+25% za DSE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulichoandika sijakielewa.Don't you know kwamba manji ana own 17%+25% za DSE
acha kulialia kaa paka jike,stupid.Geza Ulole umesikia story ya mufindi paper mills pale iringa?
Wakenya wapumbavu sana.
Go and tell that to your mother.acha kulialia kaa paka jike,stupid.
Nawajua vizuri! Magufuli awaangalie awa kwa jicho la tatu!Geza Ulole umesikia story ya mufindi paper mills pale iringa?
Wakenya wapumbavu sana.
Okay but i hope u understand Magu doesnt have the power to reject the lady...i think he can point a concern rather and push for the appointment of a Tanzanian national
Hilo swali halina jibu mana zipo Kampuni za Tanzania zilizofeli under Tanzanians ,mbona hizo hamuzimuliki?..wewe tafuta cha kufanya nimeomba success story ya any Tanzanian company under a Kenyan! Hujanijibu! Mie sio level yako!
kama kuhusu kutokuchapakazi labda wewe ndiyo mvivu unaleta story za mdomoni....usipende kuwazungumzia watu wengi walio kwenye taifa kwa kusema nchi yako haina watu wachapakazi.....miaka imebadilika mkuu hiki kipindi hakuna anayekaa kizembe hizi siyo enzi za mwalimh...Wapuuzi hawa, mimi nimewahi kuwa hoji baadhi ya watu wenye rundo la Degrees uwezi kuamini unacho kisikia, majibu yao yanakufanya uwe na wasi wasi nao ila wengi wao for some reason wanajisikia sana. Siku moja niliwambia wazi kwamba msishangae wawekezaji wanapo hamua kuleta wafanyakazi kutoka kwao, hata mimi ningekuwa na Kampuni yangu ningetafuta wafanyakazi kutoka popote Duniani, kama watakuwepo Watanzania wenye uwezo wa kweli ntawajiri lakini nisingekuwa overly concern na rudo la vyeti na sio kujaza wafanyakazi wenye rudo la sifa za makaratasi lakini kichwa hawana kitu - nani atakubali kuwapa post kubwa watu mbumbubu kwenye Industry ya mawasiliano, Vodacom ingekuwa ina - entertain ujinga huo wasingefika hapo walipo i.e kuongoza kwa idadi kubwa ya wateja, angalieni TTCL inavyo struggle the going is getting tough everyday - know why?- Search ME.
Narudia tena kuwakumbusha Watanzania wenzangu kwamba vyeti ni secondary wajiri wa makampuni binafsi wanacho taka/tafuta ni uchapaji kazi, ubunifu na kujituma nasikitika kusema kwamba sifa hizo Watanzania tulio wengi hatuna - maneno tu na fitina - wanachukulia Degrees kama passport ya kuteuliwa kwenye ngazi yoyote nyeti hata kama uwezo huo huna mnalalamika tu na kwa kuwazuria watu -Tubadirike.
Namalizie kwa kuwakumbusha kwamba binadamu wengi walio leta mabadiriko katika maisha ya binadamu wenzao Duniani wala hawakuwa na elimu kubwa, mfano: Edson, Ford, Wilbur Brothers, Allan Sugar, Sinclair, Sir Frank Whittle, Enzo Ferrari, Bill Gates,Graham Bell,Steve Jobs nk.
Exactly, the funny thing is those who appointed her think Tanzania's mobile industry is a walk in the Park like in Kenya where Safaricom has 76%. They forget none of the companies has a market share of even 33%!Vodacom is too big for that lady, she should keep her job at Safaricom or finding another smaller brand to lead not Vodacom.
Vodacom Tz should be led with CEO's like the MTN's, Vodafone, Orange etc.
Geza Ulole hili la kwamba Safaricom anataka kuinunua Vodacom TZ ni hearsay kutoka kwako. Hata hivyo kama nilivyosema wote ni partly owned by Vodacom Group SA. Iweje Safaricom imnunue Vodacom TZ? Who is selling his stake? Kama Milambo Holdings ndio wanauza their last share sawa however hata wakiuza hazitanunuliwa na Safaricom bali Vodacom Group SA ambae ni baba wa Safaricom na Vodacom TZ
I think u guys are overrating Kenyans mnooo...hao ma MD wakenya ni wangapi em tutajieni...
Naowajua mimi wako at Managerial/Director levels
As if telecom industry imekua taken na Kenyans na as if serikali imeweka mtaji mkubwa hapo...
I agree perhaps they need to keep an eye but on Vodacom the govt has only a regulatory role they cant reject her..tustick kwenye mada
Na ndo maana we should protect what we have, in a sense of economic development, haijalishi CEO yupi ana run kampuni gani, we have to monitor our native companies for the better of our societies, economy and wellbeing of our people. sio watu wanaua ua tu our companies harafu tukae kimya, no way
Oops...She js got appointed...by investors...i bet u can hardly run ur own home...sio kwa povu hiloVodacom is too big for that lady, she should keep her job at Safaricom or finding another smaller brand to lead not Vodacom.
Vodacom Tz should be led with CEO's like the MTN's, Vodafone, Orange etc.
Nadhani wenye interest na wasiwasi wa misukosuko ya voda ni shareholders wake kuliko serikali...Mbona mnakuwa waaajabu?
hivi ni lazima serekali iwe na mtaji ndipo iweze kulinda hizi kampuni kubwa?
hivi unajua impact ya Vodacom nchini?
Imagine ikifaleo au ikasuasua ni kiais gni wanachi wataathirika na serekali itaathirika?
Mbona mnakuwa waaajabu?
hivi ni lazima serekali iwe na mtaji ndipo iweze kulinda hizi kampuni kubwa?
hivi unajua impact ya Vodacom nchini?
Imagine ikifaleo au ikasuasua ni kiais gni wanachi wataathirika na serekali itaathirika?
Tanzania's mobile market is not like Kenya's! Just forget, authorities should not repeate the mess in the beer industry. Here is a serious clean competition not like the way Safaricom was groomed to a monopoly by Godfathers behind mobitelea that offered protection in exchange for shares.Oops...She js got appointed...by investors...i bet u can hardly run ur own home...sio kwa povu hilo
Reaction yako inaonyesha kuwa msumari umepenya barabara.Sasa si umwambie Magufuli? Unatuambia sisi ndio tufanye?