Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #381
He should may be try to see what EA Brew did to Serengetibrew. Though Serengetibrew was acquired by parent company Diageo Plc, most of decisions r done in Nrb.It's also possible for a subsidiary SafariCom to acquire the VodaCom stake. This is also a way to strengthen and expand the subsidiary with the same corporate governance.
Ni kwa maslahi ya Taifa, Vodacom Tanzania ikitetereka uchumi utayumba, sekta husika itatikisika na Watanzania wengi watapata hasara.Kivipi serikali iingilie masuala ya Uongozi ya sekta binafsi? Au Magufuli naye ni shareholder wa Vodacom Mwenye controlling interest?
Milambo Holdings na Vodacom S.A wametulia, Magufuli anaingiaje hapa?
Do you hear them? How can you expect positive results from your rival in the supposedly competing business arena?
Itakuwa haina maana kuwa na serikali kama haiwezi kulinda maslahi ya watu wake. Vodacom kuna hisa za Watanzania pia inafanya biashara na Watanzania milioni 7 na ushee, Vodacom imepewa leseni na serikali ya Tanzania, so Vodacom is operating under Tanzanian Law.Kivipi serikali iingilie masuala ya Uongozi ya sekta binafsi? Au Magufuli naye ni shareholder wa Vodacom Mwenye controlling interest?
Milambo Holdings na Vodacom S.A wametulia, Magufuli anaingiaje hapa?
He should may be try to see what EA Brew did to Serengetibrew. Though Serengetibrew was acquired by parent company Diageo Plc, most of decisions r done in Nrb.
Wakati JPM anaangaika kufungua viwanda jamaa wa Nrb wanaangaika kufrustrate Serengetibrew brands kuingia Kenya wakati huohuo waki-contemplate kufunga the plant in Mwanza. A thing we should avoid at any cost for our broader prosperity.
Markets are different thats obvious and there's nothing wrong with them being different...and that difference doesnt mean harm to Voda,the Coy has always been led by non Tanzanians whats the suprise rather big deal now?..Tanzania's mobile market is not like Kenya's! Just forget, authorities should not repeate the mess in the beer industry. Here is a serious clean competition not like the way Safaricom was groomed to a monopoly by Godfathers behind mobitelea that offered protection in exchange for shares.
How long has took Airtel to grab 10% within Kenya with just 14% as we speak? Read below to see how competition is being done!
English - VietNamNet News
Kivipi serikali iingilie masuala ya Uongozi ya sekta binafsi? Au Magufuli naye ni shareholder wa Vodacom Mwenye controlling interest?
Milambo Holdings na Vodacom S.A wametulia, Magufuli anaingiaje hapa?
Ujue mnajitekeny na kucheka wenyewe ....Itakuwa haina maana kuwa na serikali kama haiwezi kulinda maslahi ya watu wake. Vodacom kuna hisa za Watanzania pia inafanya biashara na Watanzania milioni 7 na ushee, Vodacom imepewa leseni na serikali ya Tanzania, so Vodacom is operating under Tanzanian Law.
Geza ametoa ushahidi wa Kenyan CEOs walivyohusika kuua kwa makusudi mashirika waliyopewa kuyasimamia hapa nchini sasa ni jukumu lako kupangua hoja za Geza badala ya kulialia.
Vv
Ts public by what percentage ...una hisa asilimia 0.0000000000000000001 unadhani u can influence investing decisions?.Unajua maana ya Public Limited Company - PLC ? kampuni ikishauza hisa na ikawa plc kama vodacom maana yake imesurrender supremacy. Haiwezekani ikafanya maamuzi ya kijinga pasipo "public-mwanahisa" kupiga kelele.
Ts public by what percentage ...una hisa asilimia 0.0000000000000000001 unadhani u can influence investing decisions?.
Only the majority can
Vodacom is in a very tight situation with competitors. I don't think she is competent enough aside right person to take up the challenge the market in Tanzania offers. There's no way Vodacom should be compared to Safaricom with over 70% market share!Markets are different thats obvious and there's nothing wrong with them being different...and that difference doesnt mean harm to Voda,the Coy has always been led by non Tanzanians whats the suprise rather big deal now?..
plenty of Tanzanians can take up that post.stupid ignorant. CRD- 40% ni danida, Government is 30% public is 30%..........uliwahi kuona MD wa crdb ni mdenmark?.....acha metality za kitumwa
Nakushangaa, hivi unajua kuwa huyo CEO mteule hawezi kufanya kazi Tanzania bila kupata kibali kutoka serikali ya Tanzania?Ujue mnajitekeny na kucheka wenyewe ....
Voda is compliant to sheria za TZ and thats where mkono wa serikali unapoishia...being a regulator baaass...leo Voda wakipunguza wafanyakazi ni maamuzi yao na serikali haiwezi ingilia as long as taratibu zimefuatwa
Mada inasuggest why Magu should reject the new CEO.,serikalo haina uwezo huo..period...
Huwa inanisikitisha sana kuona kinachoendelea baada ya EA brew kupewa Serengetibrew.HALAFU brand ya Serengeti ili simama kiukweli. I'm the fond of their executive brand, the Serengeti lite.
We waache waendelee kujibaraguza, halafu ana kesi ya kuua kwa kuendesha mlevi Kenya.Nakushangaa, hivi unajua kuwa huyo CEO mteule hawezi kufanya kazi Tanzania bila kupata kibali kutoka serikali ya Tanzania?
Vv
hahah ss povu jingiii la nini na hasira juu...relate heading ya hii thread and what Magufuli can do about it baaas...stupid ignorant. CRD- 40% ni danida, Government is 30% public is 30%..........uliwahi kuona MD wa crdb ni mdenmark?.....acha metality za kitumwa. Vodacom is the major share holder wa Safaricom kenya. Lakini vodacom hawezi kuthubutu kumchukua mtanzania awe md wa safaricom maana wanajua wakenya hawatakubali.
They can only do that to Tanzania maana wanajua tz kuna non patriots kama wewe who have slavely mindset to the core.
Hicho kibali ni work permit tu na sio kwamba ni big deal kiasi hiko...mbna siku zote mnawapa hizo permit leo mtakataa on what grounds?.makaburu mbona hamuwakatai?.Nakushangaa, hivi unajua kuwa huyo CEO mteule hawezi kufanya kazi Tanzania bila kupata kibali kutoka serikali ya Tanzania?
Vv
Mwanaharakati wa kijinsia una mtetea mwanamama mwenzako. Safi sana.Tigo alikuja mwana mama hakukaa ata nusu mwaka hii ni BTWNadhani wenye interest na wasiwasi wa misukosuko ya voda ni shareholders wake kuliko serikali...
And ur protecting Vodacom from what?.kenyans?.mbona makaburu wanaotoka South hamuwaoni
Ama outgoing Ferrao hamumuoni ni mtanzania yule?
Am beggining to see this appointment cuts deeper than nationality issues inaenda na kwny gender sasa...y watu wamekuja juu sn
What makes u think she is incompetent...we una uwezo wa huyo dada?.ama mafanikio alionayo?..kaapply hio nafasi uone kama hata wataisoma application yako...Vodacom is in a very tight situation with competitors. I don't think she is competent enough aside right person to take up the challenge the market in Tanzania offers. There's no way Vodacom should be compared to Safaricom with over 70% market share!
Technically, there is no mobile competition in Kenya. Tanzania's business environment is a no joke my friend, a reason the likes of Deacon, Uchumi, Nakumatt came n went without paying their suppliers.