Why should Magufuli reject Sylvia Mulinge as Vodacom CEO

Mwanaharakati wa kijinsia una mtetea mwanamama mwenzako. Safi sana.Tigo alikuja mwana mama hakukaa ata nusu mwaka hii ni BTW
Walaa mi sio mwanaharakati nashangaa mtu kateuliwa kuwa CEO afu watu mko nyuma ya keyboard mnabeza uwezo wake
Jitokezeni kama mna uwezo kumzidi tuwaoneee hahahah
 
Hicho kibali ni work permit tu na sio kwamba ni big deal kiasi hiko...mbna siku zote mnawapa hizo permit leo mtakataa on what grounds?.makaburu mbona hamuwakatai?.
Aisee, unajifanya huoni umuhimu ya work permit wakati hiyo ndio muhimu zaidi kwa huyo CEO mteule ili aweze kufanya kazi Tz? Sorry to say that you are not serious.

Grounds alizo -establish Gezaulole hauzioni au huzitaki tu kwa sababu zako binafsi? LadyRed, hebu pitia tena hoja zake kisha uzijibu.

Vv
 
But they arent js lucky this time and there's nthng u can do about it ooops...sorryy
Usiseme nothing he can do.. hapa enyewe ameshafanya kitu, usishangilie bado ngoma mbichi. Halafu work permit siyo kitu kidogo kama unavyo sema. Kuna vifungu vinaweza kutumiwa aka kosa sifa ya kupewa. Mfano kua na degree ya food processing halafu aje kuongoza kampuni kama vodacom. Najua makampuni ya simu yote huwa haya jali sana kama una degree ya nini ila sheria na taratibu za nchi ziko tofauti. Hao ma C.E.O ambao unasema walikua foreigners ukiweka C.V zao na ya huyu mama ni vitu viwili tofauti.
 
What makes u think she is incompetent...we una uwezo wa huyo dada?.ama mafanikio alionayo?..kaapply hio nafasi uone kama hata wataisoma application yako...
Naona kuna dalili za wivu kwa kazi alopata na gender issues mnazileta waziwazi


First she has not been exposed to a neck to neck competition. It will be a disaster to deploy a graduate of Safaricom to come and run a total different market. There is no room for that trial and error esp. now Vodacom is a public company. We shareholders deserve better.

Second on her private life she lacks dilligence, she bought her way out from drinking driving murder charges. That means she is corrupt and ready to corrupt the system to get away with murder charges.

As a shareholder, I deserve to show my concerns considering a bad record Kenyans have with our companies. U seem to be somehow related to her but nothing personal!

nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 

But Magufuli is not the owner of Vodacom. Right? Or what am I missing?
 
I suggest before you advance your sentiments here, you should have researched on the law governing companies in Tanzania as it would have given you a light on whether Magufuli has such power of intervention as you puport he should, as well for you to be conversant on the companies internal operations in respect of matter related to employment, appointment, decisions and other crucial issues entirely. Short of that, i see you are nothing than jack of all trades and master of none.
 
Sir, can u quote that law here!
 
Vodacom is public listed company! Si kampuni binafsi.
Kwani majority shareholder ni nani???

Hizo allotted 25% share ambazo ziko kwenye capital market DSE hazina nguvu hiyoo mzee ati kuwafanya watu wawe fully fledged kushinikiza hilo unalotaka...
 
Amefanya kitu gani?Magufuli atafanya nini kwa mfano..mana mkimkataa basi watateua foreigner mwingine pia ss sijui mtaandamana

Ishu yenu ni capacity ya huyu dada au the fact that she is kenyan?.
Degree at this juncture doesnt matter unadhani waliomteua hawajui hilo?.mbona experience yake ya kazi Safaricom hamuioni
Degree vs kazi yaweza kua tofauti mf ummy ni mwanasheria ila ni waziri wa afya nk
 
Una capacity au mafanikio ya sylivia wewe
Minority shareholder utainfluence vipi maamuzi ...endelea kutype tu ndo utajua nobody can stop reggae
 
Post ya uwaziri ni ya kisiasa as long as ni mbunge mtu yoyote anaeza pewa ata kama amesomea kuchonga vinyago.. hizo ishu za capacity na ukenya ndiyo mjadala hapa na siyo gender kama unavyo dai wewe..
 

Wee bana mbona unazunguka SANA? Sisi yule tunataka tuandamane kwa ajili yake kwa sababu ni mKenya. Wao wana ajenda ya siri (ulterior motives) ya kuhujumu our lucrative businesses.
 
You are a shareholder of nothing in Vodacom.
 
Wee bana mbona unazunguka SANA? Sisi yule tunataka tuandamane kwa ajili yake kwa sababu ni mKenya. Wao wana ajenda ya siri (ulterior motives) ya kuhujumu our lucrative businesses.
Usimmuogope mwanamke kwani wewe ni mwanaume jike jike hivi? Mbona kuogopa ni kama uko na kamtaro katikati ya miguu? Upende usipende Mulinge ndiye anaingia hapo Vodacom.
 
Post ya uwaziri ni ya kisiasa as long as ni mbunge mtu yoyote anaeza pewa ata kama amesomea kuchonga vinyago.. hizo ishu za capacity na ukenya ndiyo mjadala hapa na siyo gender kama unavyo dai wewe..
Ndo na mi nikawauliza mnaquestion capacity yake nyie kama kina nani.?hideous characters behind keyboards sio...
She is js assuming a Leadership position wasaka nyoka ni wengine kabisaa
 
Magufuli should reject the woman. She is a threat to national security... starting with her criminal history and secondarily that she will be working for interested parties in Nairobi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…