eddy unapoint. Point yako ipo dhahiri na hakuna mtu mwenye ufahamu anaweza kuipinga. Kimei hakusoma mzumbe wala shule za kata. Hakusoma kwenye nchi zinazoamua kupika taarifa za elimu kwa msingi ya kisiasa. Alisoma nchi zinazojitambua na zenye lengo la kujenga taifa imara endelevu kwa kuwekeza kwenye elimu. "human development".
"Dr. Charles S. Kimei is a Managing Director at CRDB Bank Plc and Chairman at Tanzania Bankers Association. Dr. Kimei was previously employed as Director-Economic Research & Policy by Bank of Tanzania.
He received his undergraduate degree from Moscow State University Lomonosov, a graduate degree from Stockholm School of Economics and a doctorate degree from the University of Uppsala."
Ninaomba unzishe uzi, au uombe mods wafungue forum maalumu ya ku address suala la elimu hapa nchini, lisiwe jukwaa la hovyohovyo. Jukwaa litakatoa ushauri namna gani elimu yetu inapashwa kutengenezwa kwanza, namna ya kutengeneza na kupata kina Kimei wengi, namna ya kutengeneza uwezo wa kupambana katika soko la ajira ndani na nje na katika nyanja za kimataifa katik adunia hii ya utandawazi, na namna gani elimu ya juu inapahswa kuwa sambamba na mfumo wa ajira kimataifa katika sekta za umma na hata za binafsi.
NINAOMBA SANA HILI SUALA TULIPE UZITO NA TULIJADILI KWA MTAZAMO WA KIPEKEE KWA MASLAHI YA TAITA LA LEO NA VIZAZI VYETU VIJAVYO.