Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #561
Kwenye market yenye serious competitors led by Halotel na Tigo watagawana wateja wa Vodacom! That's known already.Vodacom is gonna die under her leadership.
Tanzania competition is more than intense, you can loose over a million of customers a month.
Asidhani huku kuna gurantee ya customers kama Safaricom.
This is the highest degree of disrespect to pros in tanzania!The best thing about it.. Kenyn's don't hire Tanzanians... but you Hire us for all the top Jobs... Just shows how pathetic your education system is.. You don't even trust your own.. Top Jobs In TZ are given to Kenyans and South Africans.. You'll never hear your fake english and lazy mannerisms in our boardrooms
huyo jamaa hata haelewi.......na hiyo ndiyo dhana ya wakenya wengiAnd so we should allow a Kenyan spy to infiltrate our telecommunications company because anga yetu ipo mikononi mwa Kenya, is that what you are saying?
WaTanzania katika utendaji ni zero ...............unafiki , wizi , uvivu , upendeleo kwa kubebana kikabila na kindugu na mambo mengi yasiyo na maana ndo wanajua ............Mimi hata Nikiwa na kampuni siwezi kumuweka MTamzania Kuwa CEO hata Siku moja ..............Ukimuweka mbongo Kuwa CEO Andika Maumivu hapo
This is the highest degree of disrespect to pros in tanzania!
Jaman lets take back all the good jobs and kick out these kenyans!
Tuanzie moshi kwenye coffee exporting firms wamejazana had kufanya entry level jobs.
To hel with you arrogant kenyans
Ungetafsiri hiyo habari kwa kiswahili ili kumrahisishia...Huwa anapita humu na nina uhakika anaweza fanya hilo as a listed company. Otherwise nita-instigate a boycott.
Looks like Sylvia will be here sooner than expected. Ian has resigned.
One thing that troubles me is the frequency of change of Vodacom Tanzania's bosses. Safaricom imeongozwa predominantly na Michael Joseph na Bobby for too long.
Why do Vodacom TZ's bosses last for shorter terms?
Watanzania hatujitambui, inferiority na tumekosa soft skills tunajivunia vyeti tu. Wasomi wetu wengi tumebaki kusubiria teuzi za halmashauri (local government) hizi za Multinational companies tuwaachie wenye kujielewa ikiwemo WAKENYA.too bad vodacom sio ya tanzania
You talking about inferiority and at the same time you are show casing your inferiority complex for the world to see. This is Strange and interesting in a weird way!Watanzania hatujitambui, inferiority na tumekosa soft skills tunajivunia vyeti tu. Wasomi wetu wengi tumebaki kusubiria teuzi za halmashauri (local government) hizi za Multinational companies tuwaachie wenye kujielewa ikiwemo WAKENYA.
What a silly thing to say, kama wewe unajiona hujui sio mwenzako pia hajuwi.Watanzania hatujitambui, inferiority na tumekosa soft skills tunajivunia vyeti tu. Wasomi wetu wengi tumebaki kusubiria teuzi za halmashauri (local government) hizi za Multinational companies tuwaachie wenye kujielewa ikiwemo WAKENYA.
Kuna hoja zingine nataka kuziacha lakini mkono unaniita kujibu. Rada ya abiria haiwezi kuona ndege za kijeshi, Tanzania tulishaweka rada za jeshi nchi zima wakati wa Mkapa. Chezeni tu, mkione cha mtema kuni.Unachokisema kingekua na maana kubwa kwa nchi zilizoendelea lakini sio maskini kama Tanzania, nyie hamjafikia hadhi ya nchi yoyote kupoteza muda wake kuiwaza hadi kuwatuma wadukuzi kuja kudukua mawasialiano yenu. Nilishangaa hadi hata radar zetu ndio mnatumia, jameni ina maana tukiingia vitani nanyi, mtategemea radar zetu kuona ndege zetu za kivita.
Kwa sasa bado mpo sana, mruhusu watu waje kufanya kazi bila ubaguzi wenu huo, kampuni za Kitanzania zinaingia gharama sana kuwafuata wageni kuja kufanya kazi kwenu, mnachofaa kufanya ni kuboresha mifumo ya elimu yenu, kujiamini na kujituma, bila ya yote hayo mengine ni makelele tu.
Yes ni " too volatile for ANY GREEDY AND CORRUPT" CEO to make it in Tanzania. Nasisitiza hayo maneno yangu ni CAPITAL LETTERS. Mababdiliko haya yamekuwa very pronounced come 2015! Kabla ya hapo hayakuwapo! WHY?.Hili tena siyo shamba la bibi ambapo kila mjukuu anachezea chezea humo.Your business environment is too volatile for any CEO to make it, wameshindwa hata wazungu.