Why should Magufuli reject Sylvia Mulinge as Vodacom CEO


Tuone kama mzawa atapewa u ceo voda sasa
 
Story ya yule mama lishe mlevi na muuaji umeifukua wapi??

😛 😛 😛
Kuna mtu alikuwa analalama humu!
 
Ngoja tuone kama tutaletewa Mkenya...


MY TAKE
We r basically watching what r Vodacom's moves! wasituletee wajinga...

CC: Tony254
Heeheee, yani mmeletewa Mwarabu akaresign, mkaletewa Msauzi ameresign lakini bado Mkenya ndio mnataka muite mjinga? Boss, shida ipo kwa nchi yenu kwa kukosa tajriba ya kuendeleza kampuni kubwa. Hawa watu wanaoletwa wote ni watalaamu wa ukurugenzi, wamekuwa successful kwa nchi nyingi ila wakija Tz wanafeli. Shida ipo hapo kwenu. Hamna tajriba.
 
Woote wanakaribishwa kasoro Mkunya!
 
Hehehe naona Vodacom wameng'ang'ania wanamtaka yeye tu, ila ni aibu sana kwenu nyie kampuni kama hiyo iwakatalie nyie wote na iamue hata kama itachukua mwaka watamsubiri huyu binti Mkenya awaongoze.
Hivi alishakuja? Au huo mwaka bado?
 
Suluhu yetu? Unafikiri tz haiwezi survive bila vodacom? Huyo mama akadili na mapishi huko, nakuuliza mwaka bado tu?
Sylvia Mulinge ni CCO wa Safaricom sasa hivi, anasimamia vitengo vitano muhimu ndani ya Safaricom. Vitengo ambavyo vinatengeneza hela nyingi zaidi ya kampuni yote nzima ya Vodacom. Hayupo tena kwenye cheo chake cha zamani cha Special Projects.

Sidhani sasa hivi Vodacom wanaweza wakamlipa mshahara ambao anapata Safaricom. Net worth yake inakadiriwa kuwa kati ya $2M- $5M. Wewe unasema akadili na mapishi wakati labda huna hata hiyo shilingi mia mfukoni.
 
Ila hii data ninayotumia kuandika hapa ni wi-fi yakwako sio? Yule mama hakutakiwa tz na ndiomaana hakuja, tz kuna wakenya kibao hujiulizi kwanini akataliwe yeye tu? Afanye hukohuko kenya kunakomlipa vizuri. Hii ni nchi yetu msitupangie
 
Na mkiweza mumpe KQ airudishe kwenye mstari
 
Na mkiweza mumpe KQ airudishe kwenye mstari
KQ tayari kuna mzawa ambaye alishatia saini contract yake, Allan Kilavuka. Sampuli ya watu kama kina Sylvia Mulinge ni watu ambao huwa wanaandamwa kwa fujo, kama tu walivofanya Vodacom. Head hunting, sio sijui kufanyiwa interview za kutafuta kazi. Leo hii hata akiacha kazi Safaricom kesho yake atanyakuliwa na kampuni nyingine, tena labda ya kimataifa. Alafu wewe unayejaribu kumdunisha utabaki hapo hapo tu vijiweni, ukipiga timing ili upate angalau kikombe cha chai.
 
Ila hii data ninayotumia kuandika hapa ni wi-fi yakwako sio? Yule mama hakutakiwa tz na ndiomaana hakuja, tz kuna wakenya kibao hujiulizi kwanini akataliwe yeye tu? Afanye hukohuko kenya kunakomlipa vizuri. Hii ni nchi yetu msitupangie
Acha porojo zako ilikuwa ni chuki na wivu wenu tu, nyie mataga na jiwe lenu, dhidi ya wakenya. Ila hamna namna sasa hivi huo upuuzi haupo tena. Kenya bado ina wataalamu wengi sana, ambao wamekidhi vigezo vya kuongoza kampuni kama hizo. Natabiri kwamba huu ndio mwanzo tu wa hivi vilio vyako.
 
Jipe moyo kwakuwa mama anawachekea, ila tambua kitakuja chuma zaidi ya jiwe ili muanze kulialia tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…