Why should Magufuli reject Sylvia Mulinge as Vodacom CEO

I also have the same doubts in Kenyans,,,,,,we need to be very careful
 
Vodacom ni SU !?......umemuuliza Rostam ?
 
Stop crying wolf and first develop your local capacity to take over such corporate entities! As long as you don't have local expertise,more foreigners will head them!
...wampe TTCL aifanye iwe Safaricom ya TZ.
 
Hii kitu nawaambiaga watanzania wenzangu lakini huwa hawaelewi!
Kuna mijitu ina degree lakini ni zero brain kabisa!
 
Kivipi serikali iingilie masuala ya Uongozi ya sekta binafsi? Au Magufuli naye ni shareholder wa Vodacom Mwenye controlling interest?

Milambo Holdings na Vodacom S.A wametulia, Magufuli anaingiaje hapa?
Milambo alishauza share zake 35% kipindi cha mwisho cha JK
 

HAPO mwishoni teh teh teh teh tihiii
Unampa jirani akulindie nyumba yako halafu unaondoka kwenda ughaibuni kwa muda wa masika tatu, halafu unarudi unakuta wife ana mtoto wa miezi mchanga. Jirani kesha toa msaada.
SIJUI utamlaumu nani!!!?

Kwa habari ya wakenya inabidi tufanye performance audit ya CEO waliowahi kufanya KAZI hapa for past ten years.
 
Magufuli anafungamanaje na Vodacom (a private company)? Mbona hiyo kampuni imekuwa ikiongozwa na CEOs makaburu kwa muda mrefu sana husemi? Hebu tuondoleeni upuzi wenu hapa! Bila shaka mtoa mada utakuwa na maslahi binafsi na CEO anayeondoka, sio bure.
 
our (or rather African) problem is West Africans, not Kenyans.
 
We need a person who will add the value to the company, NOT just to fill the vacancy.
This lady has nothing to add to our lovely VodaCom. She has no international corporate exposure.
Mbona mawaziri karibu wote hawa add value lakini wapo. Hamjaomba watolewe
 
ati winning team? unajua historia ya Safaricom wewe? Hebu nieleze ilichukua miaka mingapi kabla another company haijaruhusiwa kuingia Kenya? Safaricom monopoly imetengenezwa name wanasiasa behind mobiletelea!

Hata bongo Vodacom imechelewa but it took over. There was Mobitel for along time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…