Why should Magufuli reject Sylvia Mulinge as Vodacom CEO


Buying Voda shares was a mistake from the beginning. Its an industry in its maturity meaning costs will go up and profits down. Msimsingizie huyu CEO mpya
 
Hayo yote ni mazungumzo baada ya habari. Habari ni kwamba Safaricom is ten times VodaTZ and continues to bring home the bread
Wewe kwenda zako! It's 10 times bigger because no Kenyan allowed to run the company. Tafuta wa ku-argue nae si mimi.
 
Sasa si umwambie Magufuli? Unatuambia sisi ndio tufanye?
Magufuli mnampenda sana kuliko mama zenu
Total rubbish! So you are saying EAB invested in TZ and deliberately sabotaged their investments? KQ, Uchumi and Nakumatt ni "our companies?" Basi katafute mtanzania anayefaa (with the relevant experience and exposure) akaongoze Vodacom
Wapo wengi.
 
We don't need human races but competence and different or wide exposure.

It's not what you want since you're nobody and have no significance in Vodacom, do you have a freaking idea how CEOs are scouted for and recruited, and yes they didn't find a single Tanzanian in the whole population of 55 million who could suit the criterion, measure and standards required.
 
Hatutaki K zakutoka Kenya katika makampuni yetu. Mmeanza tena ujasusi wakiuchumi pimbi nyinyi.
 
The best thing about it.. Kenyn's don't hire Tanzanians... but you Hire us for all the top Jobs... Just shows how pathetic your education system is.. You don't even trust your own.. Top Jobs In TZ are given to Kenyans and South Africans.. You'll never hear your fake english and lazy mannerisms in our boardrooms
 

Ahaaa haaa haaa
You missed the point. Come again after reorganizing your idea.

You said hamna waTanzania who are capable to run the telecoms COMPANY!!??
 

Ahaaa haaa haaa
So r we hiring you bcoz of English? Is a Queen language basic criterion for recruiting?
 
Kukiwa na watanzania kama hawa 500 tu wenye uzalendo na wanaoweza kuona mambo kwa jicho la tatu hakika nch yetu itasogea mbele
Nakubaliana na wewe 100%,Sio kila uwekezaji unaotoka kokote ni uwekezaji wa faida au wakibiashara mwingine ni uhujumu uchumi na hasa ukitokea kwa Economic Power House kama Kenya.Economic Dominance haiji hivi hivi,Bali hats kwa hila,ghiriba uhujumu,ujanja,ulaghai,wizi uongo,nk,nk.Kama nchi tuanayo haki kupitia mkuu wetu kuangalia na kuamua kila kinachotendeka ktk
Magufuli ndiye mmiliki wa Vidacom?
 
Kwani safaricom ina watumiaji wangapi na Vodacom wangapi?,Turnover ya Mapato kwa mwaka kila mmoja inakuwaje halafu ndipo tutajua hiyo ×10 inakujaje!
 
Reactions: Oii
Kwani Twisa afit position hadi wakachukue Kenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…