Why should Magufuli reject Sylvia Mulinge as Vodacom CEO

Hiko hivi.. Mtu aki invest pesa nyingi angependa amweke mtu anaemfahamu kusimamia huo mradi wake, siyo rahisi mtu aka weka mabilioni yake halafu aanze kuitisha interview kutafuta mtu wa kusimamia. Dangote ana viwanda vya cement kabla hajaja Tz, hao wahindi unaosema wewe wametoka kwenye viwanda vyake vingine na anawajua utendaji wao au wamependekezwa na watu ambao amepiga nao kazi.
Mfano Bakhressa ame chukua watanzania ambao anajua uwezo wao kutokana na kufanya nao kazi hapa na kwenda kufungua viwanda nchii zingine, mfano Rwanda. Usijidanganye kwamba hakuna Mtz ambae anaweza hiyo kazi. Kuna mifano ya watu waliopewa kazi kutoka abroad na wakazingua, na wazawa waliopewa kazi abroad na ndani na wakaweza. Hii mentality ya vyuo vyetu vibovu ni bora unge ongelea uwezo wako. Kuna watu kuanzia primary mpaka degree ya kwanza kapiga bongo, abroad wana enda kupiga masters kwenye top versities na kugalagaza wazungu. Ata uko Kenya C.E.O wa Safaricom ni mzungu haina maana kwamba Kenya nzima hamna mtu anae weza hiyo kazi. Hii ni sawa nakuamini miss Tz ni msichana mzuri kuliko wasichana wote Tz
 

To be honest I reviewed the situation and felt bad, that's brain drain, our top thinkers going to think on behalf of these people. She should have been handed a portfolio in Kenya to manage.
 
The day huyu mama anaingia ofisini nauza share zangu sitaki upuuzi wa Wakenya. Wakafanye ufisadi huko kwao na si kwa hela yangu. Sina imani nao kabisa.
Wewe simba gezaulole
Na ume Lola vizuri

Kenyatii(in Somali voice) ni hatari kwa afya yako
 

Labda wewe ELIMU yako ndo ngumbalu. Kuna waTanzania kibao ni maCEO wa makampuni katika NCHI zinazofanya vizuri DUNIANI. Nenda Botswana na Namibia utawakuta waTanzania kibao wanapiga KAZI. Wengine ni ma prof katika NCHI za Ulaya na America wanafundisha vyuo vikubwa DUNIANI.
Hata Mimi mwenyewe, I studied and worked among the best universities in Europe.
 
To be honest I reviewed the situation and felt bad, that's brain drain, our top thinkers going to think on behalf of these people. She should have been handed a portfolio in Kenya to manage.

Ahaaa haaa haaa
Kasichana kenyu is not enough to handle such a serious corporate. Kakaende labda kule BrookeSide na ailing Uchumi super market.
 
Ahaaa haaa haaa
Kasichana kenyu is not enough to handle such a serious corporate. Kakaende labda kule BrookeSide na ailing Uchumi super market.

Kawaulize board members wa Vodacom waliokalia vikao kujadili nani ajaze hiyo nafasi, hicho ni kiti kinataka quick thinkers sio nyie wa ze ze ze......
 
Kawaulize board members wa Vodacom waliokalia vikao kujadili nani ajaze hiyo nafasi, hicho ni kiti kinataka quick thinkers sio nyie wa ze ze ze......

Ahaaa haaa haaa
Exposure exposure exposure.
Talking fast means thinking fast.
Mbavu zangu oooi.
The the commic guys and Master of ceremonies we watch them on tv are brilliant dude.
Ahaaa haaa haaa
 
Fair Competition Commission can intervene on the saga.
 
Fair Competition Commission can intervene on the saga.
Statistics zinaonyesha juu ya utendaji wa Wakenya. Nakumatt, Uchumi wameacha madeni kwa suppliers wa Tanzania.
 

CEO: Top 7 highly paid CEOs in Kenya who are laughing all the way to the bank

The highest paid CEOs in Kenya - Business Today News

Not a Single Tanzanian on any of Our List and All Kenyans are Proudly BLACK natives

Ten Tanzanian Multi-Millionaires You Should Know
Tanzania all are Arabs and Indians

Bongolalas are all just on JF pretending to be "smart" and don't even run their own country.. Just Kenyans, South Africans , Arabs and Indians
 
Kivipi serikali iingilie masuala ya Uongozi ya sekta binafsi? Au Magufuli naye ni shareholder wa Vodacom Mwenye controlling interest?

Milambo Holdings na Vodacom S.A wametulia, Magufuli anaingiaje hapa?
Na mimi ndio hapo ninaposhangaa..
The way alivyopresent utafikiri Vodacom ni Shirika la Umma kama Tanesco.
 
Ingekuwa Vodacom ni Shirika la Umma kama Tanesco hapo sawa..
Lakini major owners of Vodacom Tz ambao ni Milambo Holdings na Vodacom SA hawawezi kuingiliwa uendeshaji wao na serikali.
 
Stop crying wolf and first develop your local capacity to take over such corporate entities! As long as you don't have local expertise,more foreigners will head them!
Having so much blah blah doesn't mean you have capacity... chill bro, let us who have some shares in Vodacom PLC discuss
 
Total rubbish! So you are saying EAB invested in TZ and deliberately sabotaged their investments? KQ, Uchumi and Nakumatt ni "our companies?" Basi katafute mtanzania anayefaa (with the relevant experience and exposure) akaongoze Vodacom
Sasa huyu lady mwenye elimu ya food processing ndio aje aongoze vodacom? Mathee kwanini uko na ujinga mwingi hivi??
 
Then retain her and alocate her into your hospitals and see why relevant education is necessary in technical sectors
 
Ahaaa haaa haaa
Exposure exposure exposure.
Talking fast means thinking fast.
Mbavu zangu oooi.
The the commic guys and Master of ceremonies we watch them on tv are brilliant dude.
Ahaaa haaa haaa

Yeah! There are people who have ability to think on their feet, talk fast and think big on equal measures. They are able to react to dynamics so fast, decisively and wisely.
Kuna series za The Apprentice nilikua napenda sana kuziona, yaani CEOs wanakua recruited, wanakumbwa na different scenarios and kuwa tested jinsi wanavyotoka.
Mambo kama hayo kwa Watanzania ni bado sana, niwajuavyo huo ni mtihani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…