Why should Magufuli reject Sylvia Mulinge as Vodacom CEO

Why should Magufuli reject Sylvia Mulinge as Vodacom CEO

Mama Lishe atasubiri SANA.
Atachomeshwa maindi kinoma! Hawa majirani wapuuzi sana washaona sisi dampo la incompetence yao. Mara walete sukari yenye mercury mara watuletee huyu drink driving worker while ana kesi ya kugonga na kuua while intoxicated.
 
Mama Lishe atasubiri SANA.

Hehehe naona Vodacom wameng'ang'ania wanamtaka yeye tu, ila ni aibu sana kwenu nyie kampuni kama hiyo iwakatalie nyie wote na iamue hata kama itachukua mwaka watamsubiri huyu binti Mkenya awaongoze.
 
Hehehe naona Vodacom wameng'ang'ania wanamtaka yeye tu, ila ni aibu sana kwenu nyie kampuni kama hiyo iwakatalie nyie wote na iamue hata kama itachukua mwaka watamsubiri huyu binti Mkenya awaongoze.
Aibu vp wakati tunapangua mpango wa Safaricom kutaka kujinyakulia Vodacom kinyemela!
 
Huwa anapita humu na nina uhakika anaweza fanya hilo as a listed company. Otherwise nita-instigate a boycott.
Kila nikipitia huu uzi hasa hii comment na yanayo tokea sasa naiona JF ina hazina kubwa sana. Kuna uzi kuhusu Rais wa Barrick umewekwa humu ningependa uwe na matokeo sawa na uzi huu.
 
Aibu vp wakati tunapangua mpango wa Safaricom kutaka kujinyakulia Vodacom kinyemela!
Ina maana kwamba hata mmisri pia ametumwa na kampuni iliyokuwa imemuajiri aje kuinyakua Vodacom? Acha kutumia kichwa chako kubebea meno tu.
 
Nimeona Vodacom Tanzania wamemuappoint Sylivia kama mmoja wa wakurugenzi
 
Geza Ulole,

Best post ever.! Hakika Nchi hii bado ina watu wanao ipenda. Kwa ushahidi huo wanaobisha ni walewale walio olewa ulaya ambao wengi wao wanaamuliwa mambo yao na wazungu.
Ahsante sana Mkuu.
 
At the biggest company in east and central africa akichapa kazi minding her own business unlike you
Where is this lady now?

FB_IMG_15862461378685341.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CEO: Top 7 highly paid CEOs in Kenya who are laughing all the way to the bank

The highest paid CEOs in Kenya - Business Today News

Not a Single Tanzanian on any of Our List and All Kenyans are Proudly BLACK natives

Ten Tanzanian Multi-Millionaires You Should Know
Tanzania all are Arabs and Indians

You re all just on JF pretending to be "smart" and don't even run their own country.. Just Kenyans, South Africans , Arabs and Indians
you see that is how you were taught looking colours ,races and tongues that's what you do best " tribalism"

In Tanzania it doesn't matter your colour if wewe ni mtanzania ni mtanzania tu regardless you have Indian ancestors or Arabic ancestors.

We have Tanzanians of Arabic or Indian origin who have been living before even European colonialism before even the Portuguese or British stepped foot in *Tanzania( which practically didn't exist by then )* are they not worth to be called Tanzanians because of their colour.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna hadi makabila ya wabulushi hapa nchini. Wamekuwepo kitambulisho wakati huo kenya hakuna kitu kabisa. Wamafikiri sisi kama wao wanachagua mpaka raisi kabila.
Ati "chi yetu haiezi ongonzwa na mtu mwingine kama si mkikuyu. "

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Vodacom Tanzania CEO Hisham Hendi resigns, heading to Spain​



WEDNESDAY AUGUST 04 2021​

hendi pic

Vodacom Tanzania Plc, CEO, Hisham Hendi.

Summary

  • According to the company’s statement, Mr Hendi would remain part of the Vodafone Group of companies, taking a new assignment as the commercial lead at Vodafone Spain.


The citizen pic


By The Citizen Reporter
More by this Author

Vodacom Tanzania’s Chief Executive Officer Hisham Hendi is set to leave the telecom giants to take on a new role in Spain it has been announced.

According to the company’s statement, Mr Hendi will remain part of the Vodafone Group of companies, taking on a new assignment as the commercial lead at Vodafone Spain.

"In Hendi's five years, Vodacom Tanzania has continued to be a market leader in the implementation of digital strategies that have helped the country to have integrated financial systems through the creation of mobile financial services," said Judge Thomas Mihayo, chairman of the board.

Judge Mihayo added that Hendi, who is set to become Vodafone's head of business in Spain, has been a key driver in securing investments to reach millions of Tanzanians who were previously unavailable with telephone services (not connected).

Commenting on his departure, Hendi said he was happy with the opportunity that was waiting for him in Spain but realized that it would not be possible if it were not for the opportunity he had in Tanzania for five years serving as CEO.

“I have worked with a good team and I am leaving the locals who are senior leaders working with great efficiency. I am happy to be serving in this great nation. My experience here in the country is what has made this move possible, I am really proud. I am leaving Tanzania as the country's ambassador, ”said Hendi.

Among the achievements of Hendi during his tenure was the company being named among the 100 best companies in Africa based on market capitalization by 2020, he achieved making the company to be on the list of Dar es Salaam Stock Exchange (DSE).


 
Back
Top Bottom