Tujiulize Simba alimfungaje Mbabane Swallows 4 - 0 kule kule Mbabanewanasimba..
vizuri tupate jibu la tatizo la simba ugenini ni nini? maana anafungwa kwa goal difference zaidi ya goli moja..
mbona timu zingine away zinashinda na hata sare zinapata ugenini.. ila simba ugenini hapati hata sare.. hata kusema ugenini afungwe chache 1-0 bado hawezi..
simba ya ugenini inapuliziwa dawa au sababu manara haendagi ?