Why simba away anakuwa mnyonge sana, hadi soura alimfunga?

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
wanasimba..

vizuri tupate jibu la tatizo la simba ugenini ni nini? maana anafungwa kwa goal difference zaidi ya goli moja..

mbona timu zingine away zinashinda na hata sare zinapata ugenini.. ila simba ugenini hapati hata sare.. hata kusema ugenini afungwe chache 1-0 bado hawezi..

simba ya ugenini inapuliziwa dawa au sababu manara haendagi ?
 
Tujiulize Simba alimfungaje Mbabane Swallows 4 - 0 kule kule Mbabane
 
Kinacho wabeba uwanja wa Taifa ni kukamia tu mechi huku wakipata sapoti kutoka kwa wale mashabiki wao wanaokula viporo vya wali uwanjani pasipo kunawa hata mikono! Uwezekano wa kufuzu hatua inayofuata kiukweli ni majaliwa tu ya Mola. Nawapongeza sana kuingia hiyo hatua ya robo fainali.
 
Back
Top Bottom