Simba sc wameweka kambi ya 4 Zanzibar kwa ajili ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga,waliwai kufanya ivyo dhidi ya Alhaly. Ikumbukwe Simba pre season ilifanyika Uturuki,tofauti na watani zao mara zote wameonekana kutulia kwenye kambi yao Kigambani, wanapunguza matumizi ya uendeshaji au wapo sehemu ambayo utulivu na
mazingira yanawazuia kutoka.
Wewe hizo kambi kutumia fedha nyingi zimekusaidia nini?Mambo Ya Furusi...
Mambo Ya Fwedha...
Mambo Ya Maokoto...
Bila Fwedha Lzm Ubaki Kwenu, hamna namna...!
Yanga mara zote wanaweka kambi kigamboni? Yanga hawajawahi kwenda north africa?Simba sc wameweka kambi ya 4 Zanzibar kwa ajili ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga,waliwai kufanya ivyo dhidi ya Alhaly. Ikumbukwe Simba pre season ilifanyika Uturuki,tofauti na watani zao mara zote wameonekana kutulia kwenye kambi yao Kigambani, wanapunguza matumizi ya uendeshaji au wapo sehemu ambayo utulivu na
mazingira yanawazuia kutoka.