why single mothers n fathers

why single mothers n fathers

samsiz

Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
64
Reaction score
51
huku mtaani imekua kama vijembe kina mama wana lalamika hakuna wanaume waoaji,nasi pia tuma lalamika hakuna wanawake wakuoa ivi hichi kizazi kitaishia wapi ,single parents ina chukua nafasi ya ndoa sasa why guys hivi nikweli ndoa au uhusiano wakudumu hauto kuwepo maana nia asilimia chache sana
 
Mahusiano ya siku hizi watu wanaoana mwaka mmoja baada ya kujuana, wakishazoeana na wakapata mtoto kila mtu anaanza kuonesha rangi yake halisi hapo ndipo break up zinatokeaga, hakuna mwanaume atakubali kuishi na mwanamke ndezi.
 
1. Tumepungukiwa kitu kinachoitwa "True Love " wote ke na me

2. Ujuaji mwingi baina ya ke na me.
Hakuna anayetaka kujishusha. Sasa hapo me hawezi kukubali kamwe.

3. Utandawazi umetuzidi ujanja.
Kuiga mambo yasiyotuhusu na kujiingiza katika maisha yasiyofaa kwetu.

4. Woga wa kuanza maisha. Hasa kwa me
5. Chagua chagua nyingi.
Utakuta me ana mademu 6 anashindwa amuoe yupi, ke ana mabwana 12 anashindwa aende wapi.

6. Imani kwa dini zetu ni haba. Hatuna imani zilizo thabiti katika maombi kwa Mungu wetu.
- Utakuta demu anaomba kwa Mungu apate mume, ila ana wanaume 6 na wote anawatimizia kwa nyakati tofauti.
- Me anaomba apate mke ila ana mademu 10 na wote anapiga.
Sasa hapo unamuomba Mungu upate nini cha ziada?

7. Mademu wengi wazuri wameshazalishwa home. Sasa hapo unakuta njemba inampenda demu bila kujua. Baadae akishajua inakuwa kikwazo.
Mahusiano yanakufa fasta.

8. Mademu wengi hawapendi kuanza maisha ya chini. Hivyo wanajikuta wapowapo tu huku wanaliwa home na kujikuta wanapoteza time na quality zao.

Mengine wataongezea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom