Why still hakuna chanjo wala dawa ya Ukimwi mpaka sasa?

Why still hakuna chanjo wala dawa ya Ukimwi mpaka sasa?

poverty eliminator

Senior Member
Joined
May 31, 2015
Posts
109
Reaction score
150
Ni miaka 31 na mwezi na wiki 1, tangu pale Wazari wa afya wa Marekani kwa wakati huo (Bi Margaret Heckler) autangazie ulimwengu kuwa katika historia ya tiba na sayansi ya Marekani hatimaye wamegundua kile kinachosababisha ugonjwa wa UKIMWI.

Je ukiwa kama waafrika, naomba tusaidiane kujibu hili swali, why UKIMWI umeshindwa kupata chanjo wala dawa takribani miaka yote hiyo?




 
Ni miaka 31 na mwezi na wiki 1, tangu pale Wazari wa afya wa Marekani kwa wakati huo (Bi Margaret Heckler) autangazie ulimwengu kuwa katika historia ya tiba na sayansi ya marekani hatimaye wamegundua kile kinachosababisha ugonjwa wa ukimwi. Je ukiwa kama waafrika, naomba tusaidiane kujibu hili swali, why ukimwi umeshindwa kupata chanjo wala dawa takribani miaka yote hiyo????

Very easy indeed!!!

Sababu ni kwamba ukimwi/AIDS hausababishwi na vijidudu/HIV.Ukimwi ni lifestyle disease;ukosefu wa chakula bora,unywaji wa pombe kupindukia,utumiaji wa madawa ya kulevya,msongo wa mawazo,utumiaji sana wa madawa ya hospitali mara kwa mara kama vile diclofenac,antibiotics,vidonge vya uzazi wa mpango,chemotherapy,mionzi,ARVs nk.

NB:
Kwa wale wanaotumia ARVs,hakuna mashaka kwamba ARVs ndizo zinazowasababishia ukimwi baada ya kuzitumia kwa muda mrefu.

Kwa wale ambao hawatumii ARVs halafu wana upungufu wa kinga,basi vyanzo vingine vikiwemo vile nilivyotaja hapo juu ndizo zitakuwa sababu lakini sio HIV kwa maana HIV hana uwezo wa kusababisha ukimwi.HIV amesingiziwa tu halafu wanakupa dawa za ARVs ambazo hasa ndizo zinaenda kufanya kazi ambayo amesingiziwa HIV huku wewe ukijua kwamba HIV ndio sababu kumbe ARVs ndizo zinazokumenya taratibu.Fahamu pia hata vipimo vyenyewe havipimi HIV,lakini watu wengi wanajua vipimo vinapima HIV kitu ambacho si kweli.HIV/AIDS ni changa la macho tu ili kuturubuni akili zetu ili waweze kutuuzia madawa yao ya ARVs kwa kuingia mikataba na serikali zetu zenye uelewa mdogo.

Najua watu watashangaa sana na ni rahisi kuupuzia hili,mimi pia sitawashangaa wakifikiria hivyo kwa kuwa najua hili ni jambo geni kwa walio wengi na hawalijui kutokana na kupitwa na mambo mengi kwa sababu ya msongo wa maisha ya kutafuta riziki za kila siku,na ndio maana waliotutangulia wanashauri sana vijana wasome vitabu na vyanzo vingine vya taarifa ili kupata elimu zilizojificha kama hizi.

Nilishaongelea jambo hili kwa kina sana kwenye nyuzi nyingine na wapo watu wengi walioelewa,ukijua ukweli huu utakuwa huru sana na kujisikia mwepesi sana.
 
HIV/AIDS imeajiri watu mengi Sana duniani, sasa ikipatikana kinga, chanjo au dawa, unadhani kitatokea nn?
 
tafiti za kinga na tiba zpo na znafanya vzr, kikwazo huchukua muda hadi kukubalika...

upo uzi humu jf unaongelea hili
 
Back
Top Bottom