Ndekrepha
JF-Expert Member
- Jun 4, 2020
- 1,506
- 2,660
Sehemu gani utatembea ukose mkenya? Wacha wewe[emoji23], masikini ni masikini, wewe unaangalia picha za slums kisha una conclude[emoji23] na haujui uwezo kamili ya some slum dwellers., poverty is poverty, na wale wanao ishi kwa extreme poverty Tanzania nyie ndio bingwa., lakini najua hili litapungua, mostly raiya wakijituma, Tz is no longer ujamaa country, kwa sasa nyie ni mabepari kama Kenya, ukizembea utabaki kua masikini ata uchumi wenyu ukipaa. Ni bidii ya mtu binafsi.
Hahaha nafurahi mdogo mdogo akili inakuingia na kuona position ya Tanzania. Sasa uje na facts huo umasikini Tz na kenya wapi raia wana suffer zaidi. Maana umasikini wa mwisho kabisa ni pale mtu anaposhindwa kupata hata chakula mara moja kwa siku. Sasa leta takwimu za hivyo.
Halafu Tz sio nchi ya kibepara na wala sio nchi ya kijamaa. We`re mixed economy.