Why Tanzania is among the leading in multidimensional poverty in Africa?

Ndio nimekuomba takwimu rasmi maana kuandika andika humu haitoshi, lakini pia nimekuambia media zetu zipo makini kwenye kukusanya taarifa unakuta wanaanika mpaka matukio ya kijijini kule ndani kwamtongole, ila nyie mengi mnaficha sana, mwendo wa mapambio na gazeti likianika mabaya mnalifungia.

Juzi kuna gazeti mumefungia sijajua tatizo nini ila ndio zenu.
 
Mimi siongelei mambo ya media mkuu, naongelea vile vitu ninaona mtaani. Sasa sijui mambo ya uwazi na kufungia magazeti yanahusika vipi hapa. Mimi naishi pande zote mbili kenya na Tz na najua tabia za watu wa pande zote mbili maana ndio maisha nayoishi nao.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]ukishiba githeri una mbwembwe na ngendembwe sana [emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubakaji Kenya upo lakini sasa umepungua..Habari ya mjini sasa kubaka kuku, ngombe na mifugo mbalimbali..Hao makahaba unaona hapo kama mchanga in mijizi ya ajabu. Wanaume Kenya wanaona heri mbuzi ama ngombe
 
Njombe, Tanzania

NIMEPATA ZAIDI YA MILIONI 450 KWA KILIMO CHA PARACHICHI : STEVEN MLIMBILA

Manyara, Tanzania

Daniel Gisiri - Mjasiriamali kwenye kilimo biashara
Daniel ni mkulima na mfanyabiashara kutoka Manyara, aliyejikita kwenye kilimo cha Shayiri na Mtama
 
Nkasi, Rukwa
Tanzania

Mkulima Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania

Utajiuliza imekuaje Milionea akauza Mabasi yake yote 80? nini kilisababisha? AyoTV imempata Milionea Sumry aliekula hela zetu sana kwa kupanda Mabasi yake lakini sasa hivi hataki kusikia tena biashara ya Mabasi... kajichimbia wapi?

Success stories za Agriculture ziko kote kote East Africa, from Burundi, Rwanda, Uganda na Kenya, hapa hakuna jipya, I am an Agribiz enthusiast na nime watch a lot of video clips za many people from East Africa who have made it big in Agribusiness wakitumia technology za kisasa kwa ukulima na ufugaji. Sio Tanzania pekee, wacha kuji console, in general watanzania wengi ni masikini lakini nchi ni tajiri, imebarikiwa naturally. It will take individual effort kujikwamua kwa umasikini.
 
Yani unalinganisha Tz na Kenya ambako ardhi yenye rutba mmemuachia aimiliki Kenyata pekeake?
 
Mnapofanya propaganda za kimagharibi acha sie tunajenga nchiView attachment 1490459
Sasa wakianza ku measure people living below poverty line in Tanzania hawatatumia kipimo cha $1.9 ya LDC countries, watatumia $3.2 ya lower middle income, wakifanya hivyo by next year wengi najua mtaanguka below poverty line[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa tutajua kati yetu na nyie nani fukara ni wengi zaidi[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…