MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Mimi nazungumzia ubakaji Tz na kenya. Kenya rate ya ubakaji ipo juu sana. hata huku Tz ubakaji upo na hakuna anaevumilia huo ujinga na watu wana andika sana na kuandamana. Ila kenya imezidi. Hapa siongelei media tu, ila uhalisia wa maisha mtaani. Sexual abuse iko juu sana huko budaa.
Ndio nimekuomba takwimu rasmi maana kuandika andika humu haitoshi, lakini pia nimekuambia media zetu zipo makini kwenye kukusanya taarifa unakuta wanaanika mpaka matukio ya kijijini kule ndani kwamtongole, ila nyie mengi mnaficha sana, mwendo wa mapambio na gazeti likianika mabaya mnalifungia.
Juzi kuna gazeti mumefungia sijajua tatizo nini ila ndio zenu.